MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,741
- 1,006
clinic! Dsltari umekosea it means she had chrinic illness, lol!
kwani clinic ni tusi au ? jf kuna vilaza khaaa!
si unajua tena div 5 za muguloAfadhali na wewe umeobserve, humu ndani kuna watu hawajui hata ukiwaelimisha hawataki kuelewa. Wanataka vile wanavyofikiri wao tu! BTW R.I.P Jane! Gone too young!
Huyu ndo yule alikuwa crdb arusha? Nakumbuka kuna patient wangu mmoja nimemhudumia Arusha alikuwa anaitwa jina hili. Mara ya mwisho nilikutana naye clinic akiwa vizuri. R.I.P Jane
we vipi! Ametoa siri gani? Mbna kuna clinic za kisukari,kansa,aids na hata moyo.hakuna siri ilyotolewa.
Wakaka bwana, ndo wanaonekana kumjua huyu shori kwa ukaribu...mwingine anasema alipelekwa KIA usiku mwingine toka primary, haya na wengine mje twawasubiri mjitambulishe. Baada ya hapa mpitie kule mwangaza mkaangazwe kwanza!! Uwekwe panapostahili jane.
Hata kama ilikuwa ya kansa kisukar matende etc hakupaswa kubwabwaja,ndo nyie mnaosma vyiuo vya Kata ,hamfundishwi Professional Ethics??shame on u
na za wazazi pia na watoto.we vipi! Ametoa siri gani? Mbna kuna clinic za kisukari,kansa,aids na hata moyo.hakuna siri ilyotolewa.
Mrembo by Nature sijakuelewa vizuri apo mwisho ...em njoo uunganishe dots
Wakaka bwana, ndo wanaonekana kumjua huyu shori kwa ukaribu...mwingine anasema alipelekwa KIA usiku mwingine toka primary, haya na wengine mje twawasubiri mjitambulishe. Baada ya hapa mpitie kule mwangaza mkaangazwe kwanza!! Uwekwe panapostahili jane.
I cannot begin to mourn you my beloved Jane. I still cannot believe that you are gone. The life lessons that you taught me will forever remain in my heart. I loved you and I always will. R.I.P my beloved friend.
Watu kwa uongo!!! Misifa kedekede hata mama zenu hamjawahi kuwapa hebu tupisheni hapa