Utakumbukwa milele Jane Mshana

Utakumbukwa milele Jane Mshana

Hata kama ilikuwa ya kansa kisukar matende etc hakupaswa kubwabwaja,ndo nyie mnaosma vyiuo vya Kata ,hamfundishwi Professional Ethics??shame on u
Big Results, ilianza kitambo kidogo kwenye vyuo vyetu!!
 
Kwa uandishi huo wewe umesoma chuo gani!?? cha kitongoji au!?

Hahahahahaaaaa. .....
rest in peace our beloved, sijui hata alipatwa maswaibu gani afu she has goon to soon, I think around 27 by th look of her picture plus story from thread initiator!!!
 
kwani clinic ni tusi au ? jf kuna vilaza khaaa!

Mkuu neno Clinic linachukuliwa na kila mtu kutokana na uzoefu wake na hilo neno...
Kwa mfano mimi ukinitajia clinic inanipa picha ya aidha Clinic ya Wamama wajawazito na watoto au Clinic ya waathirika wa Echi Ai Vii.... I never thought of Cancer or Heart Clinic as i never heard of it as it's not popular in my society, Ndo maana inaleta mkanganyiko hapa.

B.T.W Poleni wafiwa..

Kwiifo enda ro Kyaa?
 
Nadhani huyu ndiye wa kwanza kutangazwa bila kutangulizwa neno billionaire. Kweli Arusha padogo,wote wanajuana.

sio wote bhaaana mbona mi simjui...!!!! ndo nimemfahamia humu kwa discussion!!
 
Nimesikitishwa sana na baadhi ya maneno ya watu, tunaongea hata hatujui mtoto wa watu alikuwa na tatizo gani, ila si vizuri kufikia conclusions za nanma hiyo... kumbe kumtizama mtu usoni waweza jua kila kitu.... am disappoited by some of your comments!

Huyu binti tangu alipokuwa secondary alikuwa anasumbuliwa sana... siwezi toa details zote ila kwa wale mlotoa judgements zisizo na kichwa wala miguu.. fikirieni tena!

ur very right comrade ..mbaya zaidi wanaangalia picture ndo wanatoa majibu....Jaman marehem hasemwi vibaya..!!!
 
Rest in peace my friend jane. Ulikuwa charming kwa kila mtu. Nakumbuka Stephano Memorial University kule masoka ukiwa room 1 na Jack na Naike,mlikuwa mnapendana sana ingawa kozi tofauti. Tumekupenda ila Mungu kakupenda zaid. Poleni sana familia ya Mshana
 
Back
Top Bottom