Utakufa na maiti yako haitaonekana

Utakufa na maiti yako haitaonekana

As long as nimekufa hiyo haitanishughulisha sana maana nitakuwa sipo tena, sitajali maiti yangu watakula ndege au wanyama kama fisi, sitakuwepo, sitahisi chochote, ufahamu wangu wote utakuwa haupo, sitaumia, sitakwazika nitakuwa sipo kama kile kipindi ambacho nilikuwa sijazaliwa.
Umejibu vizuri sana
 
Kuna msemo unasema It doesn’t matter when or how we’re all going to die anyway, so it doesn’t matter.
 
As long as nimekufa hiyo haitanishughulisha sana maana nitakuwa sipo tena, sitajali maiti yangu watakula ndege au wanyama kama fisi, sitakuwepo, sitahisi chochote, ufahamu wangu wote utakuwa haupo, sitaumia, sitakwazika nitakuwa sipo kama kile kipindi ambacho nilikuwa sijazaliwa.
Uko tayari watu waipelekee moto? Dunia ikishuhudia?
 
20250823_100830.jpg
 
Ndugu zako na rafiki zako hawataweza kukuzika, Muombe sana Mungu wako maana siku zako zimebaki chache sana.
kuzikwa na ndugu, marafiki au kifahari namna yoyote haibadilishi maana ya kifo.
Tuishi kwa upendo, kuheshiminiana na kujali hisia za wengine hilo ndilo la msingi!
 
As long as nimekufa hiyo haitanishughulisha sana maana nitakuwa sipo tena, sitajali maiti yangu watakula ndege au wanyama kama fisi, sitakuwepo, sitahisi chochote, ufahamu wangu wote utakuwa haupo, sitaumia, sitakwazika nitakuwa sipo kama kile kipindi ambacho nilikuwa sijazaliwa.
Utakuwa kama Goliathi kichwa chake kikaliwa na kunguru
 
As long as nimekufa hiyo haitanishughulisha sana maana nitakuwa sipo tena, sitajali maiti yangu watakula ndege au wanyama kama fisi, sitakuwepo, sitahisi chochote, ufahamu wangu wote utakuwa haupo, sitaumia, sitakwazika nitakuwa sipo kama kile kipindi ambacho nilikuwa sijazaliwa.
Na hizi ndo akili za viongozi wa kiafrika na waafrika wengi
Kwanini tujenge nchi, kwanini tujenge barabara ilihali tutakufa ndo maana afrika ni kubaya sana kimazingira squatter kila mahali, miji inanuka

Na kwa akili kama hizi zako tutaendelea kudharauliwa na kuwa hivi
 
Mwanangu umelia sana, pole na futa machozi usilie sana hii ndio dunia tunayoishi dunia iliyojaa wana wa dunia wa kila aina na wenye mitazamo yao tofauti, punguza kulia futa machozi
 
NImelia wapi yaani uonge ujinga ujibiwe alafu useme mtu analia
Hapana Boss kubwa, the way ume express your feelings for the best of your reputation and the way you understand importance of maintaining safety for you and for me, nimekuelewa sana ndio maana nikaona umeitoa ile voice from within ikiwa inabubujikwa na machozi nikakufuta machozi
 
Ndugu zako na rafiki zako hawataweza kukuzika, Muombe sana Mungu wako maana siku zako zimebaki chache sana.
Kwani wewe ni nani? Hata ukiuwa mwili huwezi kugusa roho au mawazo. Ni bora kufa mara moja kwa heshima kuliko wewe unayekufa mara mia kabla ya kifo cha mwisho ukiwa unafanya uovu
 
Mbona sikuhizi hili ni jambo la kawaida tu. Wewe utakufa na maiti yako itaonekana, yangu haitaonekana ila wote tutakufa tu.
 
Back
Top Bottom