Kufa ni mwisho wa kila mtu
hakuna kiumbe kitabaki milele
Tofauti yetu itakuwa matendo yetu kuwauwa watu kwasababu za ukweli wake
Kutetea Haki
Kusema kweli matendo yako yenu sio mazuri mbele za Mungu
Mtu wa aina hii ukimuuwa jua hatokufa !
akilini mwako ataishi naww mpaka kufa kwako
Zipo Damu za watu ni nzito sana ukiweza kumuuwa
Ktk watu wa aina iyo
jua utateseka sn mpaka ujutie maisha yako yote
Mfano vifo vile kipindi cha Abdullah Zombe wale Vijana wa Madini
Wale vijana walikuwa na familia wenyewe walikuwa wasafi kimatendo wakauwa mpaka Dreva TaX
Ile ilikuwa zurma mbaya sana
Je wausika wapo salama
Apana
Wale watenda unyama ule mpaka kesho wanateseka wate hata wale wameweza kukimbia
Uko walipo wanateseka
wanajutia ile siku hawawezi sahau kile wamekifanya wanapitia Maswahibu mengi
Kwaiyo ndugu zangu sisi Wakweli tusiogope Vifo vyetu lkn tuchunge usafi wetu
mateso yetu yatawarudia watenda ukatili
Tukiwa wasafi wabaya wetu watakufa nasisi japo wapo hai Vizuka
wetu wataongea
nao kwa ukali zaidi kuliko sisi✍️