Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Ebu andika freshYaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea??
Soma sasaEbu andika fresh
Hapana nimeuliza tuβDa mauaβ huyo mumeo yani anakuuza ili mpate hela si ndio?
Ndo umewenza mnaotaka kuuanzisha ukubalike polepole huo?Yaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea??
Mmefulia mnataka mtoke kimaisha sasa mumeo kaona ili mtokane na aibu hii ya umaskini wewe mke ulale na rafiki yake ili maisha yasonge muwe na maendeleo maana alimkubali mkeo siku mingi ukagoma . Na sasa unaona bora ukubali maisha yasongee. πππππ ndio namaanisha hapo juu.
Eeh haya we sema utatoa au hutoi?Hapana nimeuliza tu
shida n ulipiga chimbo kipindi wenzio wanasoma . HuelewekiYaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea...
Anawaza kutinduliwa tuMalaya ni Malaya tuu
Sasa mtu maskini anapataje rafik tajir ngumu Sana,Aya labda tuseme bhasi ni mfano ivi kwel hata awe nashida kiasi gani atachukua rafiki akale mke wake, ungeniambia ni tajir flan linakutakaga tangu zaman ila umelikazia ukamwambia mumeo labda akakwambia hapan, then mkapitia magumu Sana akakwambia nenda kaliwe ili mvuke kipindi icho kigumu lakin siyo eti ndo iwe kazi ya kukutia kila siku,sawa iyo ndo tujadidili, lakin rafiki noma sanaYaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea...
Daah mwananguNyani ana kibamia
Pu*mbu kilo mia
Marahaba binti yangu mremboShikamoo baba
Hizi mada zinazoanzishwa siku hizi zinaashiria hitaji kubwa sana la Washauri wa saikolojia kwenye jamii. Inaonesha jamii kwa sehemu kubwa inapitia matatizo mazito sana kiakili na kifikra hivyo kuathiri uwezo wa kufikiri sahihi kuhusu matarajio, mitazamo na matamanio ya maisha yao.Yaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea??
Mmefulia mnataka mtoke kimaisha sasa mumeo kaona ili mtokane na aibu hii ya umaskini wewe mke ulale na rafiki yake ili maisha yasonge muwe na maendeleo maana alimkubali mkeo siku mingi ukagoma . Na sasa unaona bora ukubali maisha yasongee. πππππ ndio namaanisha hapo juu.
Kasome Lisa Cha Ibrahim na sara walipofika misri ugenini kule!Yaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea??