HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,374
Tunadhaminiwa/kufunzwa Hadi kunya zetu,,Upuuzi huunenda kaangalie chooni usafi na mazingira yake ndio utajua waafrika walivyo. kama mfano uzinduzi wa vyoo kila kukicha kwa hisani ya msaada wa wazungu
Mkifikia hatua ya kumtafuta mshenga kwamba sasa kaka nimekukubari nakukabidhi dada yangu huyu au huyu Manzi yangu naona atakufaa Wewe zaidi msisahau PM yangu ipo wazi na kwenye mbishe za kusimama mtu kati nipo vizuri sanaKaka una-contents sana.
I appreciate.
Au usicheke atalia, kametoka kupigiza kisogo chini 🤣'Usimsemeshe atalia'
"Aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana kwa taifa" in late JPM voiceMkifika hatua ya kutafuta mshenga PM yangu ipo wazi
Ukishajua? Imekuletea unga nyumbani?Utakuta vijana wa hovyo hapa huu uzi ila hata hawajui kama kuna kitu kinaitwa finance bill, CAG report au new constitution
Jamaaa aliingia cha kike pale alipojifunga mkono na michaelEeee alikua miyeyusho mwanzo mwisho
Ila una dhambi..Wamenitoa na picha wamerudisha haha.
Ndio mkuuKwa hio bado unazipokea PM
Unatafuta Basha wa kukuna hiko kijambio chako kwa nguvu sana.Mkifikia hatua ya kumtafuta mshenga kwamba sasa kaka nimekukubari nakukabidhi dada yangu huyu au huyu Manzi yangu naona atakufaa Wewe zaidi msisahau PM yangu ipo wazi na kwenye mbishe za kusimama mtu kati nipo vizuri sana
Dhambi gani tena Boss niambie nijirekebishe.Ila una dhambi..
Only in DSM.. aaaah njegereeeee kwa ubwabwa 🤣🤣Mchicha njegere mbaazi njugu chainizi.
(Siku nikijipata, nahama uswahilini mimi) 😒
Change ur avatar..Dhambi gani tena Boss niambie nijirekebishe.
No haiwezi kukuletea ugali. Itakuletea sumu nyumbaniUkishajua? Imekuletea unga nyumbani?
Hata wanajua ninapokaa? Kalaghabao na siasa zenuNo haiwezi kukuletea ugali. Itakuletea sumu nyumbani
Sawa nitalifanyia kazi.Change ur avatar..
Uende wapi? Uswahilini kutamu ww....ni kutembea ubavu ubavu na kuruka mitaro ya maji mpaka ufike kwako, ukifika sehemu pana miguno ya kimasihara unapunguza mwendoViwanja viwanja viwanja….
Sumu ya panya kunguni viroboto
Ice cream ice cream.
Mchicha njegere mbaazi njugu chainizi.
(Siku nikijipata, nahama uswahilini mimi) 😒
Sasa hviSawa nitalifanyia kazi.