C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,753
UTAJUAJE NI BONGO MOVIES:
1. Jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avukebarabara.
2. Matajiri majumba yao yana askari badala ya electric fence & gates.
3. Trailer inachukua dakika 40.
4. Part2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part1 ilikuwaje.
5. Madem wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa.
6. Wakifika hotelini imezoeleka ni juice inaagizwa au wine isiyofunguliwa.
7. Nusu saa mtu anatembea,anafanya mazoezi, anakimbizwa ananunua vitu.
8. Wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha.
9. Mtu yupo village, life gumu ana wave kichwani.
10. Wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani.
11. Jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara.
12. Tajiri anakuja kumpenda maskini.
Ongezea na zako..