Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,671
- 861,002
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji106] [emoji123] [emoji124] [emoji124]Mkuu Mshana hapa umefyatua.
Rangi ya asali inategemea na msimu na mime iliyopo karibu
Kuna eneo huku Zanzibar linaitwa uzi,asali yake ni nyeusii,yaani inakuwa na weusi mwingi,wakati hata hayo mambo ya ukila wa mani cotin hatuna.
Ukanda wa pwani wenye Mikoko,asali yake nyingi huwa na asali yenye weusi mwingi na ni salama zaidi.Na ghali sana