Utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu?

Utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu?

Hayo uliyoyakataa mbona ndo yenyewe sasa 😝😝.
 
Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.

Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.

-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.

Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.

Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?

Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.

Love her, support her, but not at expense of peace, dignity, resources and mission.

Don’t be a simp


Mwaga chumvi mwanawane,,,,keep preaching lazima wasande!!!

Wewe ndio SHADAYA WAJF😄😄😄😄

📌OPERATION TOKOMEZA MASIMPS!!!
 
Hapo mwanaume dhaifu naon ni yul ambay haelew nature ya mwanamke na namna ya kudeal na mwanamke huy kutokan na nature, na ndo hap anatokea mwanaum dhaifu.
 
Unakuta mtu ananyimwa mtanange na mwanamke kisa na maana hajui kupeleka moto akiona zaga hiv tayari kashaloa
 
Shindwa kutembeza moto uwake badala yake wewe unazima uone utakavyo dharaulika
 
Shindwa kutembeza moto uwake badala yake wewe unazima uone utakavyo dharaulika
Ile ni starehe sio vita, na kila jinsia inatakiwa kuwajibika. Fanya vile uwezo wako unaruhusu. Lazima tukubali kama ambavyo tunatofautiana kwenye soka, darasani, biashara n.k, ndivyo hivyo hivyo kwenye sex pia lazima tutofautiane.
 
Back
Top Bottom