Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,243
- 40,249
- Thread starter
- #21
Mwalimu wako wa biology alishawahi kukufundisha kwamba binadamu anaweza kubadilika kijinsia au kwenye familia yako ushawahi kuona hicho kitu?Umewahi kuwa mwanamke?
Mwalimu wako wa biology alishawahi kukufundisha kwamba binadamu anaweza kubadilika kijinsia au kwenye familia yako ushawahi kuona hicho kitu?Umewahi kuwa mwanamke?
Single mother ni special case. Hao ni wa kuandikia uzi wao kabisa. Kwahiyo sijawasahau, nitaibuka nao soonMkuu umesahau moja tu kuoa single mother ni udhaifu wa aibu
Kuonyesha udhaifu haswa mbele ya maanamke ni sawa na kuonyesha damu mbele ya papa bahariniMwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.
Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.
Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?
Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.
Love her, support her, but not in expense of peace, dignity, resources and mission.
Don’t be a simp
Kama unaelewa kuwa watu hawafanani mawazo,basi usipingane na mawazo yangu.Kwahiyo kwa akili zako za kubandika makande jikoni ulitegemea jf yenye members zaidi ya milioni wote watakua na mtazamo mmoja?
Preach preach preach mr man.Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.
Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.
Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?
Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.
Love her, support her, but not at expense of peace, dignity, resources and mission.
Don’t be a simp
Mimi kwa kweli mtu akikataa kunipa mbususuKulilia mapenzi ni ishara ya udhaifu
Ikifika jioni nendeni mwenge mkasafishwe kucha na kupakwa rangi.Tupunguze ushauri,kuna wakati kila mtu anatakiwa aishi vile anavyotaka yeye. Anyway niko zangu kitchen muda huu namsaidia Wife kuandaa Makande,yeye kaenda kusuka.
Huwa wanasema wanataka mwanaume mwema, anaejali, anaweka wazi magumu anayooitia ili washauriane n.k ishi nao hivyo sasa kama wanavyosema uone kitakachofuataKuonyesha udhaifu haswa mbele ya maanamke ni sawa na kuonyesha damu mbele ya papa baharini
They can smell that na hawana huruma on that
Wpi nimepingana na mawazi yako. Nimekukataza kupika makande?Kama unaelewa kuwa watu hawafanani mawazo,basi usipingane na mawazo yangu.
Love her, support her, but not at expense of peace, dignity, resources and missionMwanaume lazima ujue kubembeleza! Mwanaume ni lazima ujue kupetipeti. Wanawake wakati mwingine wanahitaji kubembelezwa, kuthaminiwa, kusikilizwa, kupendwa, nk! Kwa ujumla wanawake wanahitaji akili ya ziada ili kuishi nao.
angalia matendo yao zaidi kaka sio wanachosemaHuwa wanasema wanataka mwanaume mwema, anaejali, anaweka wazi magumu anayooitia ili washauriane n.k ishi nao hivyo sasa kama wanavyosema uone kitakachofuata
Hao ni wale dhaifu kama mleta maada alivyosemaMbona huwa wanalia
Kabisa mkuu usisahau kunitag mimi kama kateksta wa jamiiforumSingle mother ni special case. Hao ni wa kuandikia uzi wao kabisa. Kwahiyo sijawasahau, nitaibuka nao soon
Mbona hawana shida jamni!Hao ni wale dhaifu kama mleta maada alivyosema
Ule hale
Utongozaji wa kuanza kumpa pesa mwanamke imefilisi wanaume wengi na mbususu hawajaona.Huwa wanasema wanataka mwanaume mwema, anaejali, anaweka wazi magumu anayooitia ili washauriane n.k ishi nao hivyo sasa kama wanavyosema uone kitakachofuata
Tupunguze ushauri,kuna wakati kila mtu anatakiwa aishi vile anavyotaka yeye. Anyway niko zangu kitchen muda huu namsaidia Wife kuandaa Makande,yeye kaenda kusuka.
Hahaha huu utani wa ngumi kudadekIla JF unaweza kuta mtu anaandika haya akiwa bafuni aanafua chupi za mkewe maana ameambiwa bila kuzifua hapewi game leo😁