Utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu?

Utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu?

Acc balance ndo itakuonesha kua wewe ni mwanaume dhaifu au Strong.

Huwezi kua mbabe kwa viumbe zaifu(ke) halafu Mishe za kiume za kuingiza hela huna.

Uo ndo usela mavi.
Hela itakuwezesha kuwa na options nyingi. Ofcourse, simp mwenye hela atakimbiliwa na wanawake wengi zaidi ya alpha male ambae ana kipato cha kawaida tu

But the fact that a simp who have money will have more women chasing him doesn't mean that the alpha will lack women. In reality the alpha male will have more wisdom to control amd manage women than the simp who have money. Women will most likely destroy the simp than the alpha.
 
Mwanaume lazima ujue kubembeleza! Mwanaume ni lazima ujue kupetipeti. Wanawake wakati mwingine wanahitaji kubembelezwa, kuthaminiwa, kusikilizwa, kupendwa, nk! Kwa ujumla wanawake wanahitaji akili ya ziada ili kuishi nao.
Kwa uzoefu wangu ukiwa na Hela za kutosha kabisa kumuhudumia mkeo 100% hizo mambo zingine ziada tu
Kikubwa usimnyanyase tu

NB
Swala la kuchapiwa lipo pale pale hata umfanyie nini
 
Unapokuwa unatoa ushauri zingatia

1. Unashauri rika gani?

2. Kuwa kila mtu ana njia ya kuishi na mke wake/mme wake

3. Kuwa akili za wanawake hazifanani

4. Akili za wanaume hazifanani

5. Kuna maisha ya matajiri, masikini (matabaka haya hayafanani kushughulikia changamoto za ndoa)

6. Maisha ya single baba na single mother hayafanani

7. Maisha ya wenye watoto wakubwa na wenye watoto wadogo hayafanani katika ndoa

8. ambaye hajaoa hana uwezo wa kumshauri vizuri ambaye ameoa (ni kama motivation speaker, maneno mengi, uhalisia zero)

9. kuwa ushauri wako haufanyi kazi katika nyanja za imani za kidini.

ACHA KILA MTU ASIMAMIE NDOA KWA JINSI ANAVYOONA ANAPATA RAHA KUTOKA KWA MWENZAKE.
 
Mwanaume lazima ujue kubembeleza! Mwanaume ni lazima ujue kupetipeti. Wanawake wakati mwingine wanahitaji kubembelezwa, kuthaminiwa, kusikilizwa, kupendwa, nk! Kwa ujumla wanawake wanahitaji akili ya ziada ili kuishi nao.
Hahaha, mkuu usidanganye vijana bana, Mwanamke anahitaji ulinzi, Afya, Chakula, usafiri na malazi. Huo ndo upendo sahihi kwa mwanamke.

Huko kubembelezana ni uzungu, hatuuwezi tunalazimisha. Kwanza sura ya mwanaume wa kiafrika akiwa kilizi sijui too romantic anaonekana very stupid, fala fulani hivi.
 
Hela itakuwezesha kuwa na options nyingi. Ofcourse, simp mwenye hela atakimbiliwa na wanawake wengi zaidi ya alpha male ambae ana kipato cha kawaida tu

But the fact that a simp who have money will have more women chasing him doesn't mean that the alpha will lack women. In reality the alpha male will have more wisdom to control amd manage women than the simp who have money. Women will most likely destroy the simp than the alpha.

Ukiwa Alpha without money, utagongewa na simp with money.

Ukishakua na pesa automatically unakua na aoption kama ulivo sema & automatically unakua Alpha male.

Pesa ndo Fuel ya Mwanaume.
 
Unapokuwa unatoa ushauri zingatia

1. Unashauri rika gani?

2. Kuwa kila mtu ana njia ya kuishi na mke wake/mme wake

3. Kuwa akili za wanawake hazifanani

4. Akili za wanaume hazifanani

5. Kuna maisha ya matajiri, masikini (matabaka haya hayafanani kushughulikia changamoto za ndoa)

6. Maisha ya single baba na single mother hayafanani

7. Maisha ya wenye watoto wakubwa na wenye watoto wadogo hayafanani katika ndoa

8. ambaye hajaoa hana uwezo wa kumshauri vizuri ambaye ameoa (ni kama motivation speaker, maneno mengi, uhalisia zero)

9. kuwa ushauri wako haufanyi kazi katika nyanja za imani za kidini.

ACHA KILA MTU ASIMAMIE NDOA KWA JINSI ANAVYOONA ANAPATA RAHA KUTOKA KWA MWENZAKE.
Sikufahamu lakini kitu ambacho nina uhakika nacho, wewe ni simp
 
Ukiwa Alpha without money, utagongewa na simp with money.

Ukishakua na pesa automatically unakua na aoption kama ulivo sema & automatically unakua Alpha male.

Pesa ndo Fuel ya Mwanaume.
Sii kweli kwamba pesa inakuwezesha kuwa alpha male automatically. Rich simps wapo. Unamjua Emanuel Eboue, mchezaji wa zamani wa arsenal. Fuatilia upumbavu alioufanya ukapelekea kupoteza kila kitu akichopata kwenye career yake ya mpira wa miguu

Hata hivyo mada haipo specific na suala la kutafuta hela. Kila binadamu ambaye ni mtu mzima anawajibika kutafuta hela ili kuweza kumudu mahitaji yake.
 
Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.

Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.

-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.

Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.

Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?

Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.

Love her, support her, but not at expense of peace, dignity, resources and mission.

Don’t be a simp
Wamekufanya nini. 🤭

Unawapiga misumari kuliko ile ya Yesu wana kila sababu ya kutubu mbele yako
 
Weka monde
 
Kinacho matter ni always be real, na utafute mwenza ambaye yupo tayari kwendana na characters zake. Kwa msukumo wa kijamii, na media watu wanajikuta wakilazimika kulazimisha mambo ambayo hayapo katika asili yao ili kuwaplease watu wengine. Ishi katika misingi yako, mwanaume ukitiatia huruma hii jinsia ya kike unafall on the trap easily
 
Back
Top Bottom