Utajiri wa Rais Magufuli huu hapa

Watanzania kwa blah blah hatujambo...ungea fact acha siasa, wakuu wa wilaya tayari wameshatosha!
 
naungana na wewe 100% mkuu. Magufuli ni utajiri siyo wa mtu mmoja bali watanzania wote.
 
Unaleta story zako baadala ya kuandika mambo ya msingi yanayohusiana na title yako.

MKUU, mbona amejieleza vizuri tu, we sema preamble yake kama uelewi vizuri unaweza kufikiri topic nzima has nothing in common na utajiri wa Dk.Magufuli ambao haupo kwenye monetary terms au assets/mali.
 
Aisee, umempamba Magufuli kijanja kwelikweli.
Wakati viongozi wengi afrika wanataka kumiliki mali nyingi, Magufuli anamiliki uadilifu na uongozi bora.Nimekuelewa.Asiyekuelewa na kuponda thread yako ni mmoja wa wale 71% ya wavivu wa tanzania wanaopenda vya dezo.
HapakaziTu. Kuponda na Kebehi kwa wakazi wa Serengeti, Mikumi, Tarangire, Ngorongoro, a.k.a...........
 
Matajiri wa tanzania si wakweli ndo maana hawafahamiki. Mfano mzuri ni Rostam hakuna anayejua anafanya biashara gani mpaka anatajwa tajwa kwenye utajiri.
 
Sawa mkuu ila kama hiyo nyongeza katika makunsanyo ingekua inainvi mfukoni mwke angekua tajiri mkubwa dunian kwa kipindi kifupi mno
 
Watu walikuwa wanataka madolali tu ya magufuli ............ hahahaha mwandishi uko vizuri umechukua muda wako na umejaribu kueleza kitu kwa utofauti na wengine.......... sasa wale ambao shida yao ni kujua mashilingi tu kazi kwao au wakatafute na wao watuletee hapa.
 
Umechemka bro nilijua utanitajia anamiliki ng'ombe wangapi, au nyumba unaleta blaa blaa tu apa badilisha tittle basi.

Kwa tunavomjua magufuli ni mtu asie na makuu wala hana shida na mapesa ingekua hivo basi asingeweza kujipunguzia mshaara kutoka m 30 mpaka m 9. Huyu jamaa sio mpigaji ila ana hadira na maisha ya watz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom