Utajiri wa ndagu

Pesa unayo.
Namaanisha kiingilio.
Jamani nimekuwa nikisikia kuhusu hili swala la utajiri wa ndagu. Unapata utajiri wa kutupwa kwa masharti magumu. Kama Kuna mtu anayafamu vizuri haya mambo naomba anielekeze niishi maisha ya kifalme.
 
Mleta Mada Thread Unayoianzisha
Imejadiliwa Humu Kwa Kina Sana Mpaka Maeneo Wanakopatikana Wataalam Kama Iringa, Tunduma

Kuna Utajiri Wa Kuoza Baada Ya Kufa Kimiujiza Na Kutoka Funza. Ipo Tunduma Ya Jogoo Kula Punje Za Mahindi
Akila Punje 50 Utakuwa Tajiri Miaka 50 HalafuUnakufa
 
Huu utajiri wa hivi ni hatari fire
 
Jamani nimekuwa nikisikia kuhusu hili swala la utajiri wa ndagu. Unapata utajiri wa kutupwa kwa masharti magumu. Kama Kuna mtu anayafamu vizuri haya mambo naomba anielekeze niishi maisha ya kifalme.
Upo je unaweza kulala na mama ako tena umpitishie dushe uwani?
 
Back
Top Bottom