Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

Bei za dunia za mafuta na gesi kwa sasa haziruhusu uwekezaji mkubwa
 
Uchumi wa gesi,umepotea kama makinikia,ni mwendelezo tu,wa madudu kibao ya ccm.
Mkukuta,mkurabita,memkwa,kilimo kwanza,
Watuambie tangu gesi imeanza kuvunwa,tumepata Tirioni ngapi,sekta gani imepata nafuu,
Somesheni basi hata wadogo zetu vyuoni,bodi ya mikopo IPO hoi,kazi kuvamia ofisi za watu kama majembe auction mart,
Mwaka Jana,walipokea michango ya malipo ya mkopo,Leo wanafika,kampuni,inawafanyakazi watatu,wanauliza,wanaambiwa,tumewapunguzwa,wanatoa macho
 
Mleta Uzi Asante kwa kuwakumbusha watanganyika ndo maana Nkapa aliwaita watu malofa mtu kipindi yupi madarakani ameuza Nchi na bado anadaunda anawaita watu malofa turudi kwenye Gas nachokijua viongozi wa Tanzania hawajawai kuwaeshimu wananchi na wanachi Wa Tanzania wajinga
 
Kabla ya gesi walisema pia mkonge wa mawasiliano ukishakamilia,gharama za mawasiliano zitakuwa ndogo......leo hii mkonge ulikamilika na gharama bado ni kubwa

Umesahau pia analogy to digital television, tuliambiwa itakuwa cheep, free 5 channels, but what happened, lazima utoe pesa kwa kila channel.
 

Awamu hii hata ukizungumzia Gas utaitwa mchochezi unawachonganisha wananchi na serikali hila uchochezi mkubwa amabao serikali aijuona kukamata wapinzani kuwafungulia kesi na kuwanyima dhamana siku wanachi wakisema inatosha
 
Wenye maujuzi ya hayo mambo sasa tunafugia kuku tuu tulisha kosea maisha [emoji1438]‍♂️[emoji1438]‍♂️[emoji17]
 
NIVYEMA KUULIZA .. KWELI GAS GESI GESI ... KIMYAAAA. WHY? TUNGEPENDA KUJUA TUMEFIKIA WAPI NA PIA KUHUSU MAKAA YA MAWE.. AHSANTE WAHUSIKA
 
Nahisi waliotaka kuwekeza kwenye gesi wameshutukia sharia na sera sizizo rafiki kwao wenye mapesa katika uwekezaji wa aina hiyo nchini TZ.
 
Tatizo ni ujuaji uchwara wa hao waliojifanya washauri kumbe hawakuwahi hata kufanya kazi za uchimbaji wa gesi na mafuta.Walifikiri its business as usual kumbe wamepanda mwamba.
Sasa wamekwama kwa sababu hawana exposure wamegeuka bubu.
Hawajui kufanya speculation ya kitaalamu bali wanafikiri ukubwa wa ofisi zao ndio ukubwa wa akili.Pole sana hadi hapo ita SOS.
 
Unapiga domo apa wakati ndani kwako kuna vimitungi vya gesi acheni lawama kachimbeni nyie basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…