THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,855
- 15,196
Huwa nashangaa watu wanavyosoma habari na kuichukulia jinsi ilivyo bila hata kujiuliza! Team ya Newcastle inamilikiwa na mtu mmoja tuu Mike Ashley! Sasa kusema dau ni mmoja wa wamiliki wa Newcastle fc ni uongo wa mchana mweupe, hata kama una ukweli wa baadhi ya maneno yako siwezi amini kwa kuwa ushasema uongo!
Amejenga kwa pesa yake binafsi?Lile la kigamboni linafunguliwa kesho
Brother, these guys are too selfish. Walikuwa wanaamishwa kuwa hakuna muslim msomi, na hakuna muslim tajiri. Madarasan tunawaburuza, tukija mtaani tunawaburuza pia. Hata hivyo bado hawataki kukubali.
Wanawivu sana, wanaiba sana, wanshitakiwa sana bado na wenyewe hawataki kubadilika. Ama kweli wao ni majuha.
WakuuDerm Towers na Mlimani Towers zote hizi ni mali za mashemeji zake ambae wote wamepewa kazi za umeme na consultancy katika miradi mingi ya NSSF..
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100Bilioni.
Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.
Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.
Source: Dira ya Mtanzania- 18 April 2016
Afghanistan nasikia
Kwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
baada ya MAGAZEZI YOTE KUSHINDWA KUMHUJUMU DAU;
Unazijua taratibu za manunuzi ya uma? Mimi nipo kwenye construction industry kwa muda sasa, na kama hujui kazi nyingi za ujenzi za NSSF hata zikitangazwa watu hawaombi kwa vile wanajua hawatapata, lakini mimi simuhukumu, kama walizipata kwa haki ukweli utajulikana with time.Wakuu
Hao ni shemeji zake ambao amewapa tend a ya consultancy na kazi za umeme.
1. Je kama ungekuwa wewe kwenye portion hiyo ungempa mzungu so mtu baki wakati ndugu yako anauwezo wa kufanya kazi hiyo?.
Definitely nitampa ndugu yangu hiyo ni "nepotism " na siyo favouritism.
Favour ni pale unampa mtu kazi kwabupendeleo hali hana uwezo nayo.
2. Sasa labda niulize hao shemeji zake wamefanya kazi nzuri? (Do they quality ), au wamebeba tu. Also yao inadosali yoyote?.
Otherwise hata mungekuwa ninyi kwenye postion hizo ningefanya hivyo.
Angekuwa ameipa kampuni yake binafsi tungesema kuna conflict of interest.
Hayo ni mawazo na mtizamo wangu binafsi.
Tunaruhusiwa kuwa matajiri, ila sio kwa kufuja mali za wananchi.Kwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
hiyo bili ya umeme nani analipa?Nasikia daraja la Dr dau linawaka taa usiku ...
hiyo bili ya umeme nani analipa?
Inawezekana anamiliki hisa kwenye timu, au unadhani unahitaji kiasi gani?Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
Wale wale kina nani?Inaonekana wezi wengi wa enzi ya jk ni wale wale...
Kanunua hisa mkuu.na wewe uwe unajiongeza sometimes.Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!