Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Huyu Adobe ni mfanyakazi au mfuasi wa mfanyakazi wa mtu NSSF! Yaani anamchukia Dau hadi basi! Juzi tumejadili ya UDom akaishia kwa Dau!
Haya bwana, jamaa sijui kakuudhi nini?
Adobe hamchukii dau ila anachukua matendo yake ya dharau kwa dini nyingine na wizi,Nssf wana hali mbaya sana sana hela wamegawana na waarabu na familia yake,lazma achukiwe na wapenda utu wote,hana utu wala staha huyu bwana
 
Jamaa umefunika kweli...unapiga lecture kwa Kimatumbi?
 
Mkuu umenena.Obviously, ubalozi unakuwa dili kwangu mimi na wengine ambao hatujatoboa.
Kwa waliobobea kwenye harakati zao, to be an ambassador it's not an issue.
 
Baada ya Dr Dau kuondolewa NSSF , NEWCASTLE UNITED inapigwa mnada !
 
Mkuu umenena.Obviously, ubalozi unakuwa dili kwangu mimi na wengine ambao hatujatoboa.
Kwa waliobobea kwenye harakati zao, to be an ambassador it's not an issue.

umenikumbusha hii thread...

ni kweli ubalozi ni mgumu kwa mtu kama yule. Ramadhani Dau alishindwa kuondoka kituoni kuja kumzika Alhaji Kitwana Kondo, ambae, kwa mujibu wa Dau, kabla hajafa alisema anataka Dau ndio awe mwandani (kuingia kaburini kulaza na kufunika maiti ya Kiislam). Ikabidi Dau aandike eulogy akiwa ubalozini, wakai posti Jamiiforums ikisema imeshindwa kuondoka kazini. Alwatan wa Dar-es-Salaam akose shughuli kama mazishi ya Kondo? Ramadhani Dau ubalozini anajisikia kama M-mexico asiye na makaratasi ya kuishi Texas, akishaingia hawezi kuthubutu kutoka mara moja eti sijui kafiwa na mamaake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…