Je ni mambo gani akifanya yatamtofautisha na wasanii wengine wa bongo flava?Akafanye show ,O2 ndio atakuwa msanii mkubwa..kinyume Cha hapo Hana tofauti na Wabongo flavor wengine
Kwani mtoa mada kazungumzia kuhusu show au economic status ya diamond?Akafanye show ,O2 ndio atakuwa msanii mkubwa..kinyume Cha hapo Hana tofauti na Wabongo flavor wengine
Tajiri aliyepanga nyumba ajab
Huyu ni Celebrity,maana yake ni notable person ndio maana anajadiliwaHivi kwanini watu wako so-obssessed na mali za huyu jamaa. Kama ni utajiri ni wake na kama hana, HANA!
Very trueKwa msanii huyu amekua anaweka wazi kila hatua ya mafanikio yake, pengine anatengeneza motisha kwa wasanii chipukizi ama sababu zake binafsi