Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

Mkuu hii inawezekana kuna ardhi zinarutuba najua wewe upo kanda ya ziwa ni ngumu kukuta gunia hata moja au tatu za ufuta lakini niliwahi kuulima pwani nilitoa gunia 7 japo lilikua zaidi ya heka moja na hapo kuna mahali maji yaliuharibu.

Mto ruvu pale kisarawe kuna baadhi ya maeneo ukilima ukpanda mahindi yaote kisha wiki nzima hujaenda ukifika unakataa kama siyo yenyewe yamekuwa na kurefuka kama yanavutwa na kamba! kwenye shimo moja unaweka mahindi 4 au zaidi na yote yanabeba! sijawahi kuona hii ile kule vizembe kama sijakosea jina pako hivyo!
Vizembe Gwata??
 
Eeeee hahaha mlemle mkuu
Kuna mahali nikuwepo Mimi sijui kitongoji Gani hukohuko vizembe aisee sijawahi ona eneo linarutuba kama lile......Baada ya masika na maji kuanza kupungua basi tulikuwa tunatengeneze miti yenye ncha kiaina basi hamtumii jembe kabisa mnaenda mnachoma tu maana maji yameozesha Kila kitu na imebaki mbolea tupu ya uozo wa naysi(mboji)

Basi ukitumia jembe hupandi mahindi mawili ni3-4 wengine zaidi na yote Yana beba..

Gwata nimepakumbuka sana. Sina matumaini kama nitaenda Tena kule...
 
Kwa nini hutaki kurudi tena huko ?
 
wilaya gani mkuu huko??
au ndio huko kisarawe uliposema?
 
Sitafuti soko wakuu, sehemu nilipo hutu tudude tunatafutwa sana. Lakini mnaruhusiwa kuwaza vyovyote vile, hii ndiyo typical Tanzanian mentality. Posts za ujinga hakuna anayebeza ila za kusaidia watu kuinuka mnatoa response za ovyo. Ain’t surprised though.
Acha nao Mim nimekuelewa saana Mzee mwenzangu
 
Wasalaam,

Je, umeshawahijiuliza njia rahisi ya kutoka kimaisha kutokana na kilimo? Basi leo nataka nikuletee jibu la swali lako.
Kama wewe ni kijana mwenye ndoto za kutoka kimaisha basi pata mtaji mtamu sana kutoka kwenye kilimo hiki cha mbegu za mchicha. Hiki ni kilimo chenye gharama nafuu sana, kwani hakihitaji dawa ya aina yoyote, palizi moja tu na soko la mazao yake ni la uhakika sana.

Kama ilikuwa hujui mbegu za ule mchicha wa kung’oa baada ya siku 18 tu zinatoka wapi, basi leo ni siri nakuletea.

A. NAMNA YA KULIMA ZAO HILI.

-Andaa shamba lako vema, udongo wa kichanga cheusi yaani wenye rutuba au tifutifu unafaa zaidi.

-Hakikisha shamba lako lina rutuba ya kutosha kama rutuba haitoshi basi ongeza mbolea ya samadi kisha baada ya week 4 au 5 ongeza mbolea ya UREA.

-Kwa ekari moja ya 70/70 mbegu 1Kg inatosha sana. Bei ya kilo moja ya mbegu ni Tsh 6000tu.

-Jitahidi sana upande kwa wakati mwafaka kulingana na msimu wa mvua wa eneo lako mfano mkoa wa Kagera wilaya za Muleba, Bukoba mjini na vijijini, Misenyi na Karagwe yote panda kuanzia tarehe 15/8 wilaya ya Biharamlo na Ngara pande September, Kigoma wilaya zote panda katikati ya September na October mwanzoni. Kwa kifupi msimu wa kupanda mahindi katika eneo lako nawe panda kipindi hicho hicho.

-Zingatia palizi kwa mda mwafaka sana

-MUHIMU zaidi jitahidi sana spacing kati ya mche na mche iwe ya kutosha, hivyo wakati wa palizi jitahidi sana iwepo pruning ya kutosha yaani haya majamaa haitakiwi yasogeleane sana kwa matokeo mazuri zaidi.

-Zao hili ni la mda mfupi sana miezi 3 tu unavuna, hivyo andaa tundubai kwa ajili ya kuvuna. Haya majamaa ni mepesi sana kuvuna kuliko ZAO lolote yaani ni ya kukata kwa kisu unaweka kwenye tundubai, unayapiga na kupata tule tu mbegu, peleka sokoni urudi na pesa.

B. SOKO LAKE.
Kuna uhakika wa soko kwani wakulima wa mchicha ni wengi sana, na wanahitaji mbegu hii lakini pia mbegu hii ina matumizi mengine zaidi ya kupanda.

C. CHANGAMOTO ZAKE
Kilimo chochote usidanganyike kina changamoto tu lakini kwa ZAO hili ukilinganisha na mazao mengine ni chache sana
-Spacing yake, yaani haya majamaa yakibanana sana utavuna kidogo sana ili yaweke matunda mazuri ni vema iwepo nafasi ya kutosha walau 3-6cm kati ya mche na mche. Kuya prune huwa ni changamoto sana
-Kama ardhi haina rutuba utavuna kidogo sana
D. GHARAMA ZA JUMLA KWA EKARI MOJA
- Kodi kwa ekari 50,000Tsh
-Kulima ekari 50,000Tsh
-Kupanda ekari 20,000Tsh
-Palizi na pruning 50,000Tsh
-Kuvuna na kupack 50,000Tsh
-Mbegu 4,000Tsh
-Extra costs 20,000Tsh

JUMLA 250,000Tsh.

E. MAVUNO KWA EKARI MOJA

-Kama shamba lina rutuba nzuri, mvua imeenda vema, umepanda vizuri kuna uhakika wa kuvuna kuanzia 500-800Kg kwa ekari moja

F. SOKO LAKE NA BEI
Kwa maeneo mengi 1Kg utaweza kuuza kwa Tsh 3500-4000. Soko lake ni uhakika sana kwani nchi nzima mchicha unalimwa na kuliwa.

NB. Mwaka huu nimelima ekari 10 tu nimeweka zaidi 13M NMB na gharama niliyotumia ni chini ya 3M. Na hii ni ndani ya miezi 3 tu.

Mwisho achana na kilimo cha mahindi na mpunga utakufa kwa presha.
Amazing Amaranth nilifsnya mradi wa mchicha kupitia TARI pale Tengeru. Nakushauri nenda nao taratibu kwani kilimo ni Kilimo.
 
mkuu ebu nipe abc za hapo gwata
1,mashamba ya ufuta wanakodisha beigani
2,changamoto ipi kubwa ktk kilimo cha ufuta apo gwata.
Ufuta tulilima sehemu Moja inaitwa kipora ni porini kipindi hicho.

Mashamba ilikuwa ni Bure yaani ukiwa mkazi wa gwata Kwa kipindi Cha miezi6 unajisajiri na kutoa 10k unapelekwa kukatiwa shamba (pori) Heka 50.

Sisi tulienda Kwa kazi ya kukata mkaaa tu kipindi hicho nilikuwa nasimamia chainsaw kukata miti huko....badae ndo nikavutiwa na kilimo maana napenda.

Shamba nilipewa bure Tani yangu hivyo nililima sehemu niliyokuwa nakata mikaa ya watu na Mimi nalima hapo kwenye rutuba balaa

Nililima na choroko pia sema nyani ni wengi sana huko

Ni mwaka 2014 Kwa Sasa sijui mkuu
 
Mkoa gani
 
Bado ni porini ila yalipimwa mashamba mengi ila wakulima ni wachache
 
Ufuta tulilima sehemu Moja inaitwa kipora ni porini kipindi hicho.

Mashamba ilikuwa ni Bure yaani ukiwa mkazi wa gwata Kwa kipindi Cha miezi6 unajisajiri na kutoa 10k unapelekwa kukatiwa shamba (pori) Heka 50.

Sisi tulienda Kwa kazi ya kukata mkaaa tu kipindi hicho nilikuwa nasimamia chainsaw kukata miti huko....badae ndo nikavutiwa na kilimo maana napenda.

Shamba nilipewa bure Tani yangu hivyo nililima sehemu niliyokuwa nakata mikaa ya watu na Mimi nalima hapo kwenye rutuba balaa

Nililima na choroko pia sema nyani ni wengi sana huko

Ni mwaka 2014 Kwa Sasa sijui mkuu
sawa mkuu, ntajaribu kufuatilia coz mm ni mdau wa kilimo
 
Sitafuti soko wakuu, sehemu nilipo hutu tudude tunatafutwa sana. Lakini mnaruhusiwa kuwaza vyovyote vile, hii ndiyo typical Tanzanian mentality. Posts za ujinga hakuna anayebeza ila za kusaidia watu kuinuka mnatoa response za ovyo. Ain’t surprised though.
mkuu wewe waache na ujinga wao.wewe endelea kupiga hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom