Utajiri nje nje Kilimo cha Vanilla

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
VANILLA Ni zao namba moja kwa kuzaa sana na kuuzwa Bei kubwa kuliko mazao mengine, kilo moja ya vanilla kavu inauzwa shilingi 1,500,000 hadi 2,000,000. Kilo moja ya vanilla mbichi Ni sh 220,000 hadi sh 800,000 na Mche moja wa vanilla unazaa Hadi kilo 15 za maharage ya vanilla.

Vanilla hutumika kutengeneza vipodozi,kuongeza ladha na harufu katika vyakula na vinywaji na kutengeneza manukato. Wazalishaji wakubwa wa Vanilla duniani ni Madagascar kwa Tanzania vanilla inalimwa kagera, Kilimanjaro na Zanzibar, Bei ya Vanilla inapanda na kushuka kutokana na kubadirika kwa Bei ya soko la dunia.

Zao la Vanilla lina pesa nyingi kuliko mazao yote yanayolimwa nchini.

FB_IMG_1626133582098.jpg
 
View attachment 1851202
Tatizo soko,km una connection ya soko tuwasiliane
 
Wewe sio Simon Nkondya kweli wa Njombe?
 
Back
Top Bottom