kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Swali langu ni kwamba, utapenda kuwa mtu mwenye mafanikio (Tajiri) (kumbuka utajiri utakupa uhuru mkubwa wa kufanya kila kitu utakalo) lakini mwisho wa siku utaishia kuwa na mke/mume ambaye you don't feel a deep connection to.
Au
Ujafanikiwa katika maisha yako (Umaskini), lakini umempata mwenza wako ambaye mme connect with he/she on many levels. Mahusiano yenu ni mazuri sana. Lakini mna angaika na masumbufu ya kulipa bills, lack of status, etc
Kwa maoni yako utachagua lipi kati ya hayo mawili?