Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Unaweza kumjua kwasababu ya
- expressions zake zinaonesha kwamba yeye ni mgeni katika maeneo hayo.Ni kama mtoto mdogo aliyeona kitu kipya asichokifahamu au anayejifunza kitu kigeni anakuwa "WOWED" au "AMUSED" au "FASCINATED" na vitu vya kawaida ambavyo watu waliobobea katika fani hio wameshavizoea kwahio hawashangazwi.
- Vile vile anakuwa na tabia ya kusita na kujidoubt ktk kila step,kama njia ya kujiuliza AM I DOING THIS RIGHT?
- Aibu na uwoga hutawala zaidi pia ......