Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,392
Kwa kawaida mwanaume anapokutana na binti bikra ambaye hajawahi kuguswa na mwanaume atajua tu kwa sababu ya kile kitakachotokea baada ya tendo. Lakini swali ambalo nimekuwa nikijiuliza siku nyingi ni kuhusu kuwajua wanaume ambao katu hawajawahi kushiriki tendo la kujamiiana na mwanamke.
Hivi utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?