Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Kibailojia hakuna uthibitisho wowote kama ilivyo kwa mwanamke...
true true! Ipo kisocial zaidi!!
Kibailojia hakuna uthibitisho wowote kama ilivyo kwa mwanamke...
![]()
Kwa kawaida mwanaume anapokutana na binti bikra ambaye hajawahi kuguswa na mwanaume atajua tu kwa sababu ya kile kitakachotokea baada ya tendo. Lakini swali ambalo nimekuwa nikijiuliza siku nyingi ni kuhusu kuwajua wanaume ambao katu hawajawahi kushiriki tendo la kujamiiana na mwanamke.
Hivi utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?
Copy to Kaizer, Asprin, Ruttashobolwa, mwekundu, Vin Diesel, Elli, sosoliso, jouneGwalu, Kiranga, Nyani Ngabu, EMT, BAK, C.T.U, DEMBA, King'ast, Lisa, Nivea, MwanajamiiOne, Husninyo, miss chagga, TANMO, Mamndenyi, Kaunga, Preta, KOKUTONA, charminglady, Heaven on Earth
Hii dhana ya kukosea kuingiza/tundu inaweza isiwe relevant hasa kwa kipindi cha sasa ambapo wateja wa 'tigO' wanaongezeka!
Copy to Kaizer, Asprin, Ruttashobolwa, mwekundu, Vin Diesel, Elli, sosoliso, jouneGwalu, Kiranga, Nyani Ngabu, EMT, BAK, C.T.U, DEMBA, King'ast, Lisa, Nivea, MwanajamiiOne, Husninyo, miss chagga, TANMO, Mamndenyi, Kaunga, Preta, KOKUTONA, charminglady, Heaven on Earth
Copy to Kaizer, Asprin, Ruttashobolwa, mwekundu, Vin Diesel, Elli, sosoliso, jouneGwalu, Kiranga, Nyani Ngabu, EMT, BAK, C.T.U, DEMBA, King'ast, Lisa, Nivea, MwanajamiiOne, Husninyo, miss chagga, TANMO, Mamndenyi, Kaunga, Preta, KOKUTONA, charminglady, Heaven on Earth
Hivi kumbe kuna kuomba kwa adabu? Wewe unapenda yupi wa adabu au wa kukosa adabu?Hana mshawasha,muoga, hata kuomba kwake tendo ni kwa adabu saaana!
Ni kweli mama ulinianza wewe mwenyewe.Dah.. Kumbe alikuwa bikra ndo maana....
CL mie nkambikiri lols!!!!! :clap2: :clap2: :clap2:
me najua akikosea kuingiza ndo bikra... kwenda kuchungulia wakati wa kukojoa ndo nitaonaje loh na sa ngapi?
Hana mshawasha,muoga, hata kuomba kwake tendo ni kwa adabu saaana!