Utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?

Utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?

Mentor afu kama wewe ni wa hivyo wallah ntakusaka kwa udi na uvumba make mnakuwaga watamu niaje?? Ila ole wako udanganye?? Kwangu bikra haimat cha muhimu ni hapo kwenye RED

cc teammanjere & wamangati
 
Last edited by a moderator:
Mentor afu kama wewe ni wa hivyo wallah ntakusaka kwa udi na uvumba make mnakuwaga watamu niaje?? Ila ole wako udanganye?? Kwangu bikra haimat cha muhimu ni hapo kwenye RED

hahaha, mkuu Mentor njoo huku umpe haki yake huyu shosti hajawahi ona ham na kifagio!
 
Last edited by a moderator:
Hapo mnatuonea sie tuliotahiriwa locally. Baada ya kukata ile ngozi, palichomwa pale palipokatwa na kichwa kuchomwa na kama majivu ya moto hivyo kubadilika rangi...ila Mentor mimi ni bikra kabisa yani...simjui mtu mke!!!!

hahaha mkuu unamaanisha hapo ulipomalizia?
 
Last edited by a moderator:
charminglady hadi namaliza darasa la saba sikuwa nimetahiriwa halafu nikasafiri kwenda Eldoret, Kenya ambapo mama yangu mdogo ameolewa. Baba mdogo alipogundua sijatahiriwa alihakikisha nafanyiwa tohara kabla sijarudi nyumbani...walai nilitamani kutoroka ile siku.

Anyway, sijui kama ndo nakuwa mtamu au la..sijawahi jaribu labda uje unionje!!!
 
Chap chap sana... Ukuye pande hizi!!

C.c Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Ni vigumu kutambua cos vijana wanapigga sana nyeto. Kila siku kichwa cha uboo anakisugua na mkono sasa hapo unafikir utaweza kugundua? Utakuta kichwa cheusi wala hakifanani na uso

Hahahaaaaaaaaa
 
Kwa hiyo inabidi kuwaambia wavue nguo ili kuthibitisha????

Halafu wanaojua kiswahili mseja maana yake ni mwanaume bikira????
 
huo uume utauonaje sasa

kama tumetongozana ss n wapenz ile cku ya kwanz mnataka kugegedana ndio hapo utajua livomuelewa mtoa mada. lakin hii haitoshi wanawake mnajua mnaokutana nao kama huyu n lena, clas A, B au C
 
kama tumetongozana ss n wapenz ile cku ya kwanz mnataka kugegedana ndio hapo utajua livomuelewa mtoa mada. lakin hii haitoshi wanawake mnajua mnaokutana nao kama huyu n lena, clas A, B au C

Sasa akigundua sio bikra ina maana avae nguo asepe? Je itawezekana??
 
haiyumkini mtoa ushauri alidanganya.

utalionaje dushe kirahisi rahisi hivo, labda mwanaume awe amelewa ndi!
 
Mmenikumbusha enzi za ubinti, nilimuambia mtongozaji mmoja mimi bikira. Akaniambia naomba nichungulie kuhakikisha. Hahaha nikamuambia staki. Yaani siku nikikutana na yule kaka nitamkumbusha. Alitaka kunitapeli aisee, paw angenunajeee?

Kwani sasa wewe ni mbibi?
 
Back
Top Bottom