Utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?

Utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?

Mmenikumbusha enzi za ubinti, nilimuambia mtongozaji mmoja mimi bikira. Akaniambia naomba nichungulie kuhakikisha. Hahaha nikamuambia staki. Yaani siku nikikutana na yule kaka nitamkumbusha. Alitaka kunitapeli aisee, paw angenunajeee?

niambie hali yako ya huko chini Kingasti kwa sasa
 
Mmh huo utafiti wa kiuongo kabisa.. Itawezekana vp rangi ya ndude inayofichwa kweny pichu kila uchwaoo ifanane na rangi ya sura inayopigwa na vumbi la posta mpya daily

nakubaliana na wewe
 
ni balaa hiyo bikra ya mwanaume sio rahisi kugundulika kwa dizain hiyo labda mtuambie njia nyingne
 
hii nimeipenda, kwani bikra za mademu tunazipimaje?[/QUOTE Amavubi hujakulia kijijini nin! Binti bikra tulikuwa tunawapima...akienda kukojoa kichakani mnamvizia akimaliza kukojoa akaenda zake mnaenda kuangalia kama mkojo wakati unamwagika chini umechimba shimo au la. Ukichimba shimo huyo atakuwa bikra. Yaan was passing through a narrow stream with a high pressure ndo maana unachimba shimo.. Kama keshatobolewa unatoka ukiwa umesambaa hauwez kuchimba shimo.. Rahisi eh!
 
Last edited by a moderator:
huyo mtaalamu anataka kuongeza idadi ya kesi za ubakaji tu
sasa huyo mwanaume wa kukubali nimchungulie halafu aniache hivi hivi anapatikana wapi?
 
Mimi sijawahi kabisa kunaniniiihi watu. Huwa ni mwoga sana, sijui kwa nini
 
hii nimeipenda, kwani bikra za mademu tunazipimaje?[/QUOTE Amavubi hujakulia kijijini nin! Binti bikra tulikuwa tunawapima...akienda kukojoa kichakani mnamvizia akimaliza kukojoa akaenda zake mnaenda kuangalia kama mkojo wakati unamwagika chini umechimba shimo au la. Ukichimba shimo huyo atakuwa bikra. Yaan was passing through a narrow stream with a high pressure ndo maana unachimba shimo.. Kama keshatobolewa unatoka ukiwa umesambaa hauwez kuchimba shimo.. Rahisi eh!

pana uhusiano gani kati vagina na tundu la mkojo? Umechapia hapa
 
Last edited by a moderator:
ni balaa hiyo bikra ya mwanaume sio rahisi kugundulika kwa dizain hiyo labda mtuambie njia nyingne

labda kama zingekua zinakwisha kama penseli hapo ingekua poa kujua na upande wa pili kama zingekua zinajaa chupa ya chai tusinge danganywa na feki
 
Back
Top Bottom