Itakumbukwa kushika serikali za mitaa vitongoji kwa%84 na kushika Halmashauri kwa % 94
Kutangazwa mshindi na kushinda ni vitu viwili tofauti. Na kushinda ili uendeshe dola kuleta maendeleo na kushinda halafu ukaendesha dola yenye kila kitu lakini ukaitumbukiza dola hiyo kwenye umasikini ni jambo lingine.
Mfano mzurini Zimbabwe.
Sent from my iPad using JamiiForums
Madaraja makubwa:Ni dhahiri harakati zinazofanya na vyama vya siasa vya upinzani kwa ujumla wake zinatishia uhai wa ccm pamoja na ccm kutumia mbinu za kihafidhina na kuwatumia makukulimbwe kama Mwigulu bado uhai wake ccm umeteteleka.
Kiti kiko wazi wa upinzani.unadhani utaikumbuka ccm kwa lipi liwe jema ama baya.
Mimi kama mimi nitaikumbuka ccm kwa kuweza kuwadanganya wananchi bila woga.
""Where we dare to talk openly""
Nishati ya umeme:
- Kutoka mega wait 7 za Pangani falls wakati wa uhuru hadi mega wait 561 awamu ya tatu
- hivi sasa kuna uzalishaji wa mega wait 1500 za uhakika ndiyo maana hakuna mgao wa umeme
- 2015 baada ya bomba la gesi kukamilika inakadiriwa kufikia uzalishaji mega wait 3000 na zaidi
- Kuna mradi wa umeme vijijini, huu kwa kiasi kikubwa ni umeme wa kutumia nguvu ya jua. Hivi sasa awamu ya kwanza ya mradi huu imeshamalizika na unaingia kwenye awamu ya pili utakao gharimu takribani shilingi bilioni 850 utakaofika mikoa yote 24 ya Tanzania bara na asilimia karibu 80 ya fedha hizo zitatolewa na Serikali yetu, hii na hatua kubwa sana kufikiwa katika nchi ya EAC
- kuongezeka ajira kwenye sekta ya nishati ya umeme.
- Kujenga miundombinu ya nishati ya umeme.
dah! mkuu ni mengi sana kwakweli, ila kubwa kuliko yote ntaikumbuka CCM kwa kutupatia rais dhaifu kuliko wote duniani, ni dhaifu huo CCM wamewageuza wanaume wa Tanganyika masabu...ri wazi kwa kuingia mikataba na wazungu, noma sana, ni mengi ya kukumbuka ila kwa leo ni hayo tu, naelekea lushoto kufufua mizimu ya babu walau nipate japo na mazongo mawili matatuAaah mkuu Erythrocyte ndio unasema nini? Tumeambiwa huyo ndio bingwa wa siasa za kimkakati halafu wewe unamponda? Ngoja tumwalike zumbemkuu aje atusaidie mawazo katika thread hii muhimu ya jinsi gani tutaikumbuka CCM iliyodumu madarakani kwa 50 years. Mkuu zumbemkuu karibu ipitie hii thread ya kumbukumbu ya chama "chetu"
Sent from my iPad using JamiiForums
hahhhaa, dah, hii kali CC HengeHalafu wanasema watatawala daima ili hao vijana kwa elimu wapatayo hapo ndio waje waendeshe nchi. Hawa jamaa wana ubongo wa samaki.
View attachment 148429
Ndio maana bado wanashabikia mambo yasiyo na tija kwa taifa. Hapo hapo viongozi wa chama chao badala ya kuumiza vichwa kututoa hapa tulipo wao wanajiingiza kwenye michezo ya watoto wadogo. Ni aibu.
View attachment 148432
View attachment 148433
View attachment 148434
Sent from my iPad using JamiiForums
dah! mkuu ni mengi sana kwakweli, ila kubwa kuliko yote ntaikumbuka CCM kwa kutupatia rais dhaifu kuliko wote duniani, ni dhaifu huo CCM wamewageuza wanaume wa Tanganyika masabu...ri wazi kwa kuingia mikataba na wazungu, noma sana, ni mengi ya kukumbuka ila kwa leo ni hayo tu, naelekea lushoto kufufua mizimu ya babu walau nipate japo na mazongo mawili matatu
dah! mkuu ni mengi sana kwakweli, ila kubwa kuliko yote ntaikumbuka CCM kwa kutupatia rais dhaifu kuliko wote duniani, ni dhaifu huo CCM wamewageuza wanaume wa Tanganyika masabu...ri wazi kwa kuingia mikataba na wazungu, noma sana, ni mengi ya kukumbuka ila kwa leo ni hayo tu, naelekea lushoto kufufua mizimu ya babu walau nipate japo na mazongo mawili matatu
hahahaha, wapwa zangu Elli na MANI mje mtoe neno hukuJamani nyie mkoje? Mie nimechoka kusema mabaya ya CCM. Sasa naanza mema. Nitaikumbuka sana CCM kwa burudani zake nyingi na jinsi ilivyokuwa inawakuna makada wake kwa mtiririko wa mauno. We acha tuu!
View attachment 148416
View attachment 148417
View attachment 148418
View attachment 148419
Funga kazi ni kama hapa ambapo mkulu naye anapewa mauno ya kufa mtu mpaka akiingoa ndani badala ya kusoma hotuba ya kikao che NEC anajikuta anasoma hotuba ya uzinduzi wa daraja la Malagalasi. Cheza na kiduku wewe!
View attachment 148420
Sent from my iPad using JamiiForums
yule msaliti MTAE nilitangaza hitima yake siku nikikutana nae, hata mkuu MANI analitambua hilo, alipewa hela na ngwilizi akala kona, natangaza dau milioni 2 kwa yeyote atakayenipatia taarifa zake alipo, anaitwa ALLY JUHA , sijui ni JUHA au JAHA, picha chini ni nyumba ya babu yake aliyopewa urithi, na CCM wanajua hiloUkifika Lushoto kama utapita Malibwi ma Kwemakame wape hi waambie tuko pamoja. Pia peleka salamu Mtae waambie yule msaliti nikija kamanda Chakaza nikute amehama.
Sent from my iPad using JamiiForums
yule msaliti MTAE nilitangaza hitima yake siku nikikutana nae, hata mkuu MANI analitambua hilo, alipewa hela na ngwilizi akala kona, natangaza dau milioni 2 kwa yeyote atakayenipatia taarifa zake alipo, anaitwa ALLY JUHA , sijui ni JUHA au JAHA, picha chini ni nyumba ya babu yake aliyopewa urithi, na CCM wanajua hilo
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=148494&stc=1&d=1396365710
duh! ''hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi''Mkuu hiyo Milioni 2 hebu kula na shemeji pale Laws Hotel ukifika. Mie nikipata habari zake nitakufahamisha bureee! Ila utamkuta katika hali akiwa taabani labda kama hivi
View attachment 148497
Sent from my iPad using JamiiForums
duh! ''hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi''
mkuu huyu si tajiri namba moja Tanzania huyu?
MAFANIKIO SERIKALI YA CCM
Mafanikio ya nchi yanapimwa kimataifa na hivi sasa kigezo kikubwa cha kupima maendeleo ya nchi ni malengo ya millennia.
Barabara: mwaka 1961 zilikuwa kilomita 1,300
- baada ya miaka 50 kilomita zilifikia takribani 6,000
- hivi sasa kilomita zimeshafikia 11,000
- mwaka 2015 inakadiliwa kufikia 18,000
- bilioni 450 za barabara ukilinganisha na bilioni 56 miaka 5 iliyopita
- kujenga miundombinu ya barabara.
yule msaliti MTAE nilitangaza hitima yake siku nikikutana nae, hata mkuu MANI analitambua hilo, alipewa hela na ngwilizi akala kona, natangaza dau milioni 2 kwa yeyote atakayenipatia taarifa zake alipo, anaitwa ALLY JUHA , sijui ni JUHA au JAHA, picha chini ni nyumba ya babu yake aliyopewa urithi, na CCM wanajua hilo
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=148494&stc=1&d=1396365710