Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,283
- 55,886
- Thread starter
-
- #41
Nguruwe mmoja anazaa watoto wangapi?Miaka kumi ya kuandika prompt chat gpt eti nguruwe 50ππ bro get a job ....acha kudanganya watu na chatgpt ngoja nipitie uzi zako zingine labda ndo tabia yko
Wengi washabiki wa timu za mpira, na ule uzi wa kimasiharaJEIEF KILA MEMBER NI MFUGAJI
Andika chat gpt kama ulivyo andika mwanzo you can fool many but not all HII STORY YAKO NI CHAT GPTNguruwe mmoja anazaa watoto wangapi?
Enyi kiaz cha ChatGPTWewe story kaandika na CHAT GPT hiyo yote kama mtaalamu wa AI utajua tu....
Nitume namba ya akaunti au mpesa inafaa?Mbali sana, kwa nini isiwe baada ya miaka miwili?
kijijini hapajawahi kumfedhehesha mtu, bali kumfurahisha kwa maisha ya uhakika wa amani na utulivu, chakula, mali na fedha π
Watu walimia kwenye chat gpt anakuja kuandika inspirational hΓΉkuEnyi kiaz cha ChatGPT
Hahahhaaha karibu mwandishiNgoja nimalizie kupakua application ya CHATGPTnakuja na Uzi wangu "JE UTAHAMIA LINI MJINI" Ikiwa ni hatua ya kukabiliana na uzi huu.View attachment 3416728
jfpesa kama unayo?Nitume namba ya akaunti au mpesa inafaa?
Ahsante sana mkuuHahahhaaha karibu mwandishi
Sasa kwa akili yako ya mjini, mfugaji anaweza kula nguruwe 50?Hongera sana mkuu sema naona kila ulichofuga ni kwaajili ya nyama hapo home sijaona ulichosema umefuga kwaajili ya biashara π
Kitimoto 50 kwaajili ya nyama, kuku wa kienyeji 200 kwaajili ya nyama mayai, ng'ombe 5 kwaajili ya maziwa na mbuzi 50 kwaajili ya kubadilisha mboga.
Familia yako ni kubwa kiasi gani?
"Ninapanga kuhamia ifikapo mwishoni mwa mwaka, lakini nitajaribu kukaa kidogo kwanza.""Ninahamasia wazo la kijijini, ila bado najiandaa kiakili na kimazingira."
Ni chat gpt imeandika usihangaike mkuu yeye kaja tu kupaste story humuSasa kwa akili yako ya mjini, mfugaji anaweza kula nguruwe 50?
Njoo kijijini kuna maisha mazuri kama utayatengeneza, nipo hapa nimeokota parachichi lililodondoka mtini nakulaAndika chat gpt kama ulivyo andika mwanzo you can fool many but not all HII STORY YAKO NI CHAT GPT
Utupe mrejeshoNgoja nimalizie kupakua application ya CHATGPTnakuja na Uzi wangu "JE UTAHAMIA LINI MJINI" Ikiwa ni hatua ya kukabiliana na uzi huu.View attachment 3416728
Prompt sawa kazi yangu ilikuwa kukuumbua watu wajue ufala wako wa MASTORY YA KUTUNGA YA Chat gptNjoo kijijini kuna maisha mazuri kama utayatengeneza, nipo hapa nimeokota parachichi lililodondoka mtini nakula
Wengi tunatamani kuishi sehemu yenye utulivu wa akili na nafsi.Swali zuri sana: "Lini unahamia kijijini?" linaweza kuwa zito na lenye hisia nyingi ndani yake, hasa kama kuna hofu au mashaka kuhusu maisha mapya huko.
Kabla ya kujibu hilo swali kwa tarehe au wakati, jaribu kujiuliza haya:
---
π 1. Je, uko tayari kiakili na kihisia?
Unahisi kutaka kuhama, au ni jambo unalazimika kufanya?
Una hofu zipi? (upweke, huduma, ajira, utulivu mwingi?)
Unatazamia nini huko kijijini? (amani, ardhi, maisha mapesi?)
---
π§ 2. Je, una mpango ulio wazi?
Utafanya nini huko? (kilimo, kazi ya mbali, kujenga nyumba, kulea familia?)
Umepanga makazi, usafiri, mahitaji ya kila siku?
Umeshazungumza na watu waliopo huko? Una mtandao wowote wa msaada?
---
π§± 3. Je, unaweza kujaribu kwanza?
Kabla ya kusema "ninaamia mwezi fulani," unaweza:
Kaa kijijini kwa wiki kadhaa kama majaribio.
Tembelea mara kwa mara kuona kama utapenda maisha hayo kabla ya kuhamia kabisa.
Fanya maandalizi taratibu: anza na ardhi, nyumba au biashara kabla ya kuhamia.
---
β Kujibu swali hilo kwa uhakika:
Baada ya kuzingatia hayo, unaweza kusema:
"Ninapanga kuhamia ifikapo mwishoni mwa mwaka, lakini nitajaribu kukaa kidogo kwanza."
"Sijajua tarehe kamili, lakini najitayarisha kwa hatua kwa hatua."
Wewe ni kizazi cha adamu au kile cha nyoka?Prompt sawa kazi yangu ilikuwa kukuumbua watu wajue ufala wako wa MASTORY YA KUTUNGA YA Chat gpt
Story ya kutunga na haina uhalisia, picha yenyewe uliyoweka ya mazingira kama England.Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.
Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.
Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.
Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.
A. niliweka banda la ngβombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku
B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga
C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama
D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama
E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k
Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k
Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.
Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.
Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ββEquation x na mimi sirudi tena mjini.ββ
Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ββtangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.ββ
Nikabaki nacheka tu.
Je, wewe, utahamia lini kijijini?
View attachment 3416701