Utahamia lini kijijini?

USIJALI mkuu takuja na Uzi WA punda naamini hamtawachukulia POA TENA


Kwishaaaa
Kuna sehemu nililishwa nyama yake bila kujua, niliitema kwa sababu haikuwa na ladha pendwa.
 
Kuna sehemu nililishwa nyama yake bila kujua, niliitema kwa sababu haikuwa na ladha pendwa.
Hahahah ILA SI anakula majani HUYO kiumbe Hana SHIDA na MTU HUYO , anza na NYAMA yake ya kukaanga au kuchoma ukizoea anza kupiga na supu


Kwishaaaaa
 
Kama ningezaliwa kijijini ,ningejenga huko...Maisha ya vijijini ni mazuri sana .
 
My take-wazo zuri,ila umetupanga sana.
Wekeza mjini uwe na income inayoeleweka--lets say unakusanya kodi ya majengo inayofika atleast 3M kila mwezi.
Ndio uhamie kijijini--ila usiuze.
 
Kitimoto 50 ni mradi mkubwa sanaa sanaa ......kitimoto 1 anakulq kilo 2 hadi 3 kwa siku....kila siku kilo 100.....sio mchezo ....
 
Maisha ya kijijini siyo mazuri kwa watu wote.

Wengi ya waishio kijijini, wanepigika na wanaishia kunywa gongo na kuvuta bangi tu.
Hata ulaya na america, wanaoishi vijijini ni choka mbaya na low IQ.

Kama ni kufuga unaweza lufanya hivyo hata ukiwa mjini.

Mjini sehemu zenye hewa safi na zisizo na kelele zimejaa tele.

Walio vijijini nao wanatamani kwenda kuishi mjini, kwa kuwa mzunguko wa pesa ni mkubwa, tofauti na kijijini.

Kwa kifupi, kijijini hakuna maisha.
 
Kwa mazingira haya kijijini, unaonafursa ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…