Utafutaji wa waliolipuwa mkutano wa chadema.

Utafutaji wa waliolipuwa mkutano wa chadema.

Kwani mwenyekiti CCM taifa alikuwepo?

alikua anahudhuria mkutano wa g8 na yule ni mwenyekiti na rais wa nchi. yule ni katibu mkuu. hawalingani hataa kidogo. mambo ya chaguzi yanashughulikiwa na akina kinana, nape, mwigulu........ wanatosha
 
Let us think inside the box, outside the box and trash thebox and think without a box as well.
Inside the box
CCM wamepanga njama ya kulipua bomu kwenye mkutano waCHADEMA ili wananchi waogope kuhudhulia mikutano ya chadema. Tuhuma hizi zinakuzwana maneno ya Mwigulu Nchemba ambaye katika mikutano yake alionya kwambawatakaohudhulia mikutano ya chadema watakufa pamoja.Pia vifo vilivyofanya napolisi kwenye mikutano ya CHADEMA huko morogoro na iringa pamoja na utekwaji nauteswaji wa Ulimboka na wengineo vinafanya watu wengi ikiwamo viongozi waCHADEMA waamini kuwa CCM ilitumia polisi kufanya hujuma hizi
LAKINI, kwanini yalipuliwe siku ambayo ni mwisho wa kampeni?Lengolingekuwa ni kuwatisha wananchi wasihudhulie mikutano ya chadema basi bilashaka bomu lingelipuliwa mwanzoni kabisa mwa kampeni.
Outside the box
Kuna wengine wanaamini CHADEMA wamejilipua wenyewe ilikutafuta umaarufu na huruma ya wapiga kura pamoja na kuipaka matope serikali yaCCM pamoja na jeshi lake. Fikra hii inachukuliwa kwa uzitio kwani hata katibumwenezi wa CCM Nape Mnauye katika tarifa yake kwa vyombo vya habarianatuaminisha hivyo.
LAKINI, kiongozi gani yupo tayari kumwaga damu kwanitunaambiwa bomu lililipuka jirani na jukwaa kuu na miongoni mwa waliokufa nikiongozi wa CHADEMA. Isitoshe kulikuwa na mpango wa kutengeneza mlipuko mkubwazaidi ambao ungeleta madhala zaidi kwani Tenki la mafuta la gari la matangazolilikutwa limepigwa risasi kwa mategemeo lingelipuka.
Trash the box and think without the box
Mimi nafikiri kuna mtu/ kikundi cha tatu ambacho tunatakiwatukiweke kwenye tafakari zetu wakati tunamtafuta mchawi katika hili. Kikundihiki kinaweza kuwa ndani ya nchi ama hata nje ya nchi. Tujiulize je ndani yanchi kuna kikundi kinapenda kuona CHADEMA na CCM kwenye malumbano? Je kunakikundi ama mashirika ndani ya nchi hakipendi kuona watanzania tunaishi kwaamani?
Je kuna Vikundi vyanje ama nchi za nje ambazo hazipendi kuona watanzania tunaishi kwa amani? Jekuna nchi ama vikundi tuna uhasama navyo?
Ndai ya nchi sina uhakika kama kuna kikundi ama chama chasiasa kisichopenda kuona CCM na CHADEMA wakilumbana ama kinachopenda tuingiekwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, labda TISS watakuwa wanajua.
Kuhusu vikundi nchi za nje ambavyo vina uadui na Tanzania,nina uhakika na M23. Kikundi hiki cha wanamgambo wanaopigana Congo ambaoinaaminika wanafadhiliwa na serikali za Rwanda na Uganda havijafurahishwa nahatua ya serikali ya Tanzania kupeleka majesi yake kwenda kulinda amani Congo.Sijui vikundi vingine nadhani TISS wana idadi ya ya vikundi tulio na uaduinavyo.
Kuhusu nchi pia nina uhakika kwamba tuna uadui na Malawi kutokana na mgogoro wa mipaka kuleziwa nyasa. Pia nina uhakika tuna uhasama na Rwanda na Uganda kwakuwatumeingilia Maslahi yao kwa kupeleka majeshi Congo. Sina uhakika na nchinyingine ila nadhani TISS watakuwa wanajuia nchi ambazo tuna uhasama naokwasababu ndio kazi yao , ingawa Kenya lazima tutakuwa na uhasama nao kwenyemasuala ya kibiashara.
Kwanini natilia mashaka vikundi vya nje ya nchi ama nchimajirani zetu?
Kwasababu aina ya bomu lililolipuka katika kanisa la Josephmfanyakazi Olasiti ni ile ile iliyolipuka katika mkutano wa kufunga kampeni waCHADEMA. Ni bomu la kiwandani na limetengenezwa China.
Mabomu haya ni kwaajili ya majeshi sio polisi.
Ikumbukwe kipindi kile bomu lilipolipuka kanisani , kulikuwana Tension kubwa sana kati waislam nawakristo. Motive ya mlipuaji ilikuwa ku spark vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya wakristo na waislam. Hiiilishindikana baada ya wakristo kuendelea kuonyesha uvumilivu pia ilikujagundulika kwamba mtu aliyerusha bomu ni mkristo mwenzao. Nadhani dhamira ya kikundiama nchi iliyotaka tuingie katika Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe ili fail.
Wakati huu ambapo kulikuwa na Tension kubwa kati ya mahasimuwa siasa CCM na CHADEMA hapa Arusha tunaona hali hii inajirudia. Motive ni ileile ya kutaka tuingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, wakati huu katu yawafuasi wa CHADEMA na CCM.
Viongozi wetu wanatakiwa wawe makini sana wanapotoamatamkoyao kwani tukianza kuuana hakuna atakayepona. Kwamfano kakukuwa na haja ya MhLukuvi ama Nape kutoa matamko ya namna ile ama jeshi la polisi kuzuia wafuasiwa CHADEMA kufanya maombolezo ya wafuasi wao waliouawa katika mlipuko
Halikadhalika hakukuwa na sababu ya viongozi wa CHADEMAkuwatuhumu polisi moja kwa moja kabla ya kuwa na uhakika wa kinachoendeleakwani wakati wa matukio kama ya uchaguzi polisi huwa wanaletwa toka kila kona yaTanzania kwahiyo sio rahisi polisi walio katika scene kujuana, kitu kinachowezakutoa mwanya kwa wahalifu ku camouflage kama police na kutekeleza adhma yao(kumbuka tunaambiwapolisi walimtorosha mrusha bomu je tuna uhakika ni polisi wetu, ama ni agentswa maadui zetu?).
NB; Rejea maneno ya rais wa Rwanda baada ya hizi kash kash aliposema Kikwete Kikwete anajidai kupatanisha nchi zawenzake wakati kwake kumshinda. Pia bomu la kanisani lililipuka pindi tu askariwetu walipokuwa deployed kwenda rwanda
;Rejea maneno ya M23 kwenye mitandaoyao
;ikumbukwe kenyan hawafurahishwi naour mega development projects kama za ujenzi na upanuaji wa bandari zetu, nareli utajiri wa gas, ujenzi wa bomba na impact zake katika uchumi hapo baadaeetc
Sina Chama
Naomba kuwasilisha
 
Kwa interijensia ndooogo tu, Huyu bwaba, Kinana ndio wahusika wakuu. Hata mkbwa wa nchi anajua...ndio maana kamtea mwanajeshi mstaafu kwenda China kuanda mauji mengine 2015

Ndugu wanajamvi. Nawasalimu wote itifaki ikizingatiwa.

Sote tunafahamu kwamba upinzani mkubwa katika uchaguzi wa madiwani ulikuwa kati ya CCM na CHADEMA.
Takwimu zinaonyesha CHADEMA walikuwa wanafanya vizuri zaidi maana Arusha inafahamika kuwa ni ngome ya CHADEMA.

Sote tuliona na kushuhudia makamu wa Katibu Mkuu wa CCM mwingulu nchemba akiwa Arusha na magwanda ya kijeshi ya China.

Sote tulishihudia na kuona kikundi cha kijeshi cha Mwingulu ndani ya CCM huko Mbeya.

sote tunafahamu harakati zake za video za kutunga za kigaidi dhidi ya CHADEMA,

Sote tunajua kupitia Nchemba mwenyewe kwamba alikuwa China kwa siku kadhaa baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza chaguzi hizi.

Sote tunajua na tumemsikia na video yake iko humu JF na U tube akiwaambiwa wananchi wa Arusha kwamba wakihidhuria mikutano ya CHADEMA watakufa.

Sote tumeambiwa hadi na Waziri Mkuu Pinda kuwa mabomu hayo yalikuwa ya mwaka huu toka China.

Hivi wakuu huo upelelezi wa polisi ndio upi tena wakati kila lead iko wazi hata kwa wasiokuwa wapelelezi?

Hivi mpinzani wako akikuambia utakufa na baada ya masaa machache ukauawa kweli, Je huyo mpinzani wako hawajibiki kama mtuhumiwa namba moja?

Je si yeye aliyeingiza mabomu na risasi za kichina na kuwatumia FFU kupiga hayo mabomu, na kujaribu kupiga tank la petroli la gari la matanagazo ya CHADEMA lilikuwa karibu sana na jukwaa kuu ili lilipuke na kuangamiza maelfu ya watu waliokuwepo sambmba kabisa na mlipuko wa bomu?

Leo nimemwona Mwingulu bungeni nikasikitika sana. Viongozi wa Jeshi la Polisi fahamuni hamkuwekwa hapo kuangamiza
wananchi na kuwakingia kifua wauaji kama huyu. Msipomkamata huyu hao wengine wote watakuwa feki kama yule Ambrosi mnaemshilikia bila kosa.

View attachment 98397
 
kwa taarifa tu hizi kofia zilivaliwa sana na wa communist wa China, Russia na wafuasi wa Fidel Castro, so huenda kazipata huko China
 
Mugulu ni janga kuu la kitaifa kama yalivyo masisiem....
 
Tutaongea weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Mwigulu ndo facilitator wa yote haya! Na chama chake ccm kimebariki afanye.
 
let us think inside the box, outside the box and trash thebox and think without a box as well.
inside the box
ccm wamepanga njama ya kulipua bomu kwenye mkutano wachadema ili wananchi waogope kuhudhulia mikutano ya chadema. Tuhuma hizi zinakuzwana maneno ya mwigulu nchemba ambaye katika mikutano yake alionya kwambawatakaohudhulia mikutano ya chadema watakufa pamoja.pia vifo vilivyofanya napolisi kwenye mikutano ya chadema huko morogoro na iringa pamoja na utekwaji nauteswaji wa ulimboka na wengineo vinafanya watu wengi ikiwamo viongozi wachadema waamini kuwa ccm ilitumia polisi kufanya hujuma hizi
lakini, kwanini yalipuliwe siku ambayo ni mwisho wa kampeni?lengolingekuwa ni kuwatisha wananchi wasihudhulie mikutano ya chadema basi bilashaka bomu lingelipuliwa mwanzoni kabisa mwa kampeni.
outside the box
kuna wengine wanaamini chadema wamejilipua wenyewe ilikutafuta umaarufu na huruma ya wapiga kura pamoja na kuipaka matope serikali yaccm pamoja na jeshi lake. Fikra hii inachukuliwa kwa uzitio kwani hata katibumwenezi wa ccm nape mnauye katika tarifa yake kwa vyombo vya habarianatuaminisha hivyo.
lakini, kiongozi gani yupo tayari kumwaga damu kwanitunaambiwa bomu lililipuka jirani na jukwaa kuu na miongoni mwa waliokufa nikiongozi wa chadema. Isitoshe kulikuwa na mpango wa kutengeneza mlipuko mkubwazaidi ambao ungeleta madhala zaidi kwani tenki la mafuta la gari la matangazolilikutwa limepigwa risasi kwa mategemeo lingelipuka.
trash the box and think without the box
mimi nafikiri kuna mtu/ kikundi cha tatu ambacho tunatakiwatukiweke kwenye tafakari zetu wakati tunamtafuta mchawi katika hili. Kikundihiki kinaweza kuwa ndani ya nchi ama hata nje ya nchi. Tujiulize je ndani yanchi kuna kikundi kinapenda kuona chadema na ccm kwenye malumbano? Je kunakikundi ama mashirika ndani ya nchi hakipendi kuona watanzania tunaishi kwaamani?
je kuna vikundi vyanje ama nchi za nje ambazo hazipendi kuona watanzania tunaishi kwa amani? Jekuna nchi ama vikundi tuna uhasama navyo?
ndai ya nchi sina uhakika kama kuna kikundi ama chama chasiasa kisichopenda kuona ccm na chadema wakilumbana ama kinachopenda tuingiekwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, labda tiss watakuwa wanajua.
kuhusu vikundi nchi za nje ambavyo vina uadui na tanzania,nina uhakika na m23. Kikundi hiki cha wanamgambo wanaopigana congo ambaoinaaminika wanafadhiliwa na serikali za rwanda na uganda havijafurahishwa nahatua ya serikali ya tanzania kupeleka majesi yake kwenda kulinda amani congo.sijui vikundi vingine nadhani tiss wana idadi ya ya vikundi tulio na uaduinavyo.
kuhusu nchi pia nina uhakika kwamba tuna uadui na malawi kutokana na mgogoro wa mipaka kuleziwa nyasa. Pia nina uhakika tuna uhasama na rwanda na uganda kwakuwatumeingilia maslahi yao kwa kupeleka majeshi congo. Sina uhakika na nchinyingine ila nadhani tiss watakuwa wanajuia nchi ambazo tuna uhasama naokwasababu ndio kazi yao , ingawa kenya lazima tutakuwa na uhasama nao kwenyemasuala ya kibiashara.
kwanini natilia mashaka vikundi vya nje ya nchi ama nchimajirani zetu?
kwasababu aina ya bomu lililolipuka katika kanisa la josephmfanyakazi olasiti ni ile ile iliyolipuka katika mkutano wa kufunga kampeni wachadema. Ni bomu la kiwandani na limetengenezwa china.
mabomu haya ni kwaajili ya majeshi sio polisi.
ikumbukwe kipindi kile bomu lilipolipuka kanisani , kulikuwana tension kubwa sana kati waislam nawakristo. Motive ya mlipuaji ilikuwa ku spark vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya wakristo na waislam. Hiiilishindikana baada ya wakristo kuendelea kuonyesha uvumilivu pia ilikujagundulika kwamba mtu aliyerusha bomu ni mkristo mwenzao. Nadhani dhamira ya kikundiama nchi iliyotaka tuingie katika mapambano ya wenyewe kwa wenyewe ili fail.
wakati huu ambapo kulikuwa na tension kubwa kati ya mahasimuwa siasa ccm na chadema hapa arusha tunaona hali hii inajirudia. Motive ni ileile ya kutaka tuingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, wakati huu katu yawafuasi wa chadema na ccm.
viongozi wetu wanatakiwa wawe makini sana wanapotoamatamkoyao kwani tukianza kuuana hakuna atakayepona. Kwamfano kakukuwa na haja ya mhlukuvi ama nape kutoa matamko ya namna ile ama jeshi la polisi kuzuia wafuasiwa chadema kufanya maombolezo ya wafuasi wao waliouawa katika mlipuko
halikadhalika hakukuwa na sababu ya viongozi wa chademakuwatuhumu polisi moja kwa moja kabla ya kuwa na uhakika wa kinachoendeleakwani wakati wa matukio kama ya uchaguzi polisi huwa wanaletwa toka kila kona yatanzania kwahiyo sio rahisi polisi walio katika scene kujuana, kitu kinachowezakutoa mwanya kwa wahalifu ku camouflage kama police na kutekeleza adhma yao(kumbuka tunaambiwapolisi walimtorosha mrusha bomu je tuna uhakika ni polisi wetu, ama ni agentswa maadui zetu?).
nb; rejea maneno ya rais wa rwanda baada ya hizi kash kash aliposema kikwete kikwete anajidai kupatanisha nchi zawenzake wakati kwake kumshinda. Pia bomu la kanisani lililipuka pindi tu askariwetu walipokuwa deployed kwenda rwanda
;rejea maneno ya m23 kwenye mitandaoyao
;ikumbukwe kenyan hawafurahishwi naour mega development projects kama za ujenzi na upanuaji wa bandari zetu, nareli utajiri wa gas, ujenzi wa bomba na impact zake katika uchumi hapo baadaeetc
sina chama
naomba kuwasilisha
ndugu yangu kwa hili usiumize kichwa huyu ni pure untouchable mwigulu! Baaaaaaaaaaaaaas hata igp mwema analijua!!!!!!
 
Let us think inside the box, outside the box and trash thebox and think without a box as well.
Inside the box
CCM wamepanga njama ya kulipua bomu kwenye mkutano waCHADEMA ili wananchi waogope kuhudhulia mikutano ya chadema. Tuhuma hizi zinakuzwana maneno ya Mwigulu Nchemba ambaye katika mikutano yake alionya kwambawatakaohudhulia mikutano ya chadema watakufa pamoja.Pia vifo vilivyofanya napolisi kwenye mikutano ya CHADEMA huko morogoro na iringa pamoja na utekwaji nauteswaji wa Ulimboka na wengineo vinafanya watu wengi ikiwamo viongozi waCHADEMA waamini kuwa CCM ilitumia polisi kufanya hujuma hizi
LAKINI, kwanini yalipuliwe siku ambayo ni mwisho wa kampeni?Lengolingekuwa ni kuwatisha wananchi wasihudhulie mikutano ya chadema basi bilashaka bomu lingelipuliwa mwanzoni kabisa mwa kampeni.
Outside the box
Kuna wengine wanaamini CHADEMA wamejilipua wenyewe ilikutafuta umaarufu na huruma ya wapiga kura pamoja na kuipaka matope serikali yaCCM pamoja na jeshi lake. Fikra hii inachukuliwa kwa uzitio kwani hata katibumwenezi wa CCM Nape Mnauye katika tarifa yake kwa vyombo vya habarianatuaminisha hivyo.
LAKINI, kiongozi gani yupo tayari kumwaga damu kwanitunaambiwa bomu lililipuka jirani na jukwaa kuu na miongoni mwa waliokufa nikiongozi wa CHADEMA. Isitoshe kulikuwa na mpango wa kutengeneza mlipuko mkubwazaidi ambao ungeleta madhala zaidi kwani Tenki la mafuta la gari la matangazolilikutwa limepigwa risasi kwa mategemeo lingelipuka.
Trash the box and think without the box
Mimi nafikiri kuna mtu/ kikundi cha tatu ambacho tunatakiwatukiweke kwenye tafakari zetu wakati tunamtafuta mchawi katika hili. Kikundihiki kinaweza kuwa ndani ya nchi ama hata nje ya nchi. Tujiulize je ndani yanchi kuna kikundi kinapenda kuona CHADEMA na CCM kwenye malumbano? Je kunakikundi ama mashirika ndani ya nchi hakipendi kuona watanzania tunaishi kwaamani?
Je kuna Vikundi vyanje ama nchi za nje ambazo hazipendi kuona watanzania tunaishi kwa amani? Jekuna nchi ama vikundi tuna uhasama navyo?
Ndai ya nchi sina uhakika kama kuna kikundi ama chama chasiasa kisichopenda kuona CCM na CHADEMA wakilumbana ama kinachopenda tuingiekwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, labda TISS watakuwa wanajua.
Kuhusu vikundi nchi za nje ambavyo vina uadui na Tanzania,nina uhakika na M23. Kikundi hiki cha wanamgambo wanaopigana Congo ambaoinaaminika wanafadhiliwa na serikali za Rwanda na Uganda havijafurahishwa nahatua ya serikali ya Tanzania kupeleka majesi yake kwenda kulinda amani Congo.Sijui vikundi vingine nadhani TISS wana idadi ya ya vikundi tulio na uaduinavyo.
Kuhusu nchi pia nina uhakika kwamba tuna uadui na Malawi kutokana na mgogoro wa mipaka kuleziwa nyasa. Pia nina uhakika tuna uhasama na Rwanda na Uganda kwakuwatumeingilia Maslahi yao kwa kupeleka majeshi Congo. Sina uhakika na nchinyingine ila nadhani TISS watakuwa wanajuia nchi ambazo tuna uhasama naokwasababu ndio kazi yao , ingawa Kenya lazima tutakuwa na uhasama nao kwenyemasuala ya kibiashara.
Kwanini natilia mashaka vikundi vya nje ya nchi ama nchimajirani zetu?
Kwasababu aina ya bomu lililolipuka katika kanisa la Josephmfanyakazi Olasiti ni ile ile iliyolipuka katika mkutano wa kufunga kampeni waCHADEMA. Ni bomu la kiwandani na limetengenezwa China.
Mabomu haya ni kwaajili ya majeshi sio polisi.
Ikumbukwe kipindi kile bomu lilipolipuka kanisani , kulikuwana Tension kubwa sana kati waislam nawakristo. Motive ya mlipuaji ilikuwa ku spark vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya wakristo na waislam. Hiiilishindikana baada ya wakristo kuendelea kuonyesha uvumilivu pia ilikujagundulika kwamba mtu aliyerusha bomu ni mkristo mwenzao. Nadhani dhamira ya kikundiama nchi iliyotaka tuingie katika Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe ili fail.
Wakati huu ambapo kulikuwa na Tension kubwa kati ya mahasimuwa siasa CCM na CHADEMA hapa Arusha tunaona hali hii inajirudia. Motive ni ileile ya kutaka tuingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, wakati huu katu yawafuasi wa CHADEMA na CCM.
Viongozi wetu wanatakiwa wawe makini sana wanapotoamatamkoyao kwani tukianza kuuana hakuna atakayepona. Kwamfano kakukuwa na haja ya MhLukuvi ama Nape kutoa matamko ya namna ile ama jeshi la polisi kuzuia wafuasiwa CHADEMA kufanya maombolezo ya wafuasi wao waliouawa katika mlipuko
Halikadhalika hakukuwa na sababu ya viongozi wa CHADEMAkuwatuhumu polisi moja kwa moja kabla ya kuwa na uhakika wa kinachoendeleakwani wakati wa matukio kama ya uchaguzi polisi huwa wanaletwa toka kila kona yaTanzania kwahiyo sio rahisi polisi walio katika scene kujuana, kitu kinachowezakutoa mwanya kwa wahalifu ku camouflage kama police na kutekeleza adhma yao(kumbuka tunaambiwapolisi walimtorosha mrusha bomu je tuna uhakika ni polisi wetu, ama ni agentswa maadui zetu?).
NB; Rejea maneno ya rais wa Rwanda baada ya hizi kash kash aliposema Kikwete Kikwete anajidai kupatanisha nchi zawenzake wakati kwake kumshinda. Pia bomu la kanisani lililipuka pindi tu askariwetu walipokuwa deployed kwenda rwanda
;Rejea maneno ya M23 kwenye mitandaoyao
;ikumbukwe kenyan hawafurahishwi naour mega development projects kama za ujenzi na upanuaji wa bandari zetu, nareli utajiri wa gas, ujenzi wa bomba na impact zake katika uchumi hapo baadaeetc
mmm good analysis
 
Mwigulu alikuwa anamvizia Mhe.Mbowe ili la mauaji yamchafue jijini Mbeya au hata kumuua kisha watengeneze mgogoro kivuli ndani ya CHADEMA kwamba wanauana wenyewe, baada ya mazingira kumkaba kutokana na vijana hodari wenye kadi za CCM na moyo wa CHADEMA wakitoa taarifa za mwenendo wake kwa makamanda wa CHADEMA aliamua kukimbilia Arusha ili kutekeleza mission yake. Risasi iliyopigwa kwenye tank la mafuta ambalo alikuwa anahutubia Mhe.Mbowe haikuwa bahati mbaya bali failed mission. Taarifa nilizopenyezewa na mdau mmoja ambaye anahusika na masuala ya usalama amesema, "kuna mambo yanatokea ni ngumu kuamini kama Mungu hayuko upande wa CHADEMA, maafa yangekuwa makubwa zaidi angekuwepo Dr.Slaa maana ndiye aliyekuwa mlengwa mkuu tangu awali kwani wanaamini ndiye kikwazo kikubwa cha kuisambaratisha CHADEMA" Kimsingi siasa za Mwigulu si nzuri kwa hatma ya amani ya nchi yetu, .
 
hizo ni hisia zako. Mbona slaa alisema nchi haitotawalika. Alikua anamaanisha nini? Unajua kwa nini hayupo nchini hali ya kuwa alijua kuna uchaguzi muhimu? Tafakari!

kwa hiyo kauli ya slaa imewafanya nyie ccm kuwa wachawi? Kwa kuwa ukisema neno kama hilo mbele ya mchawi basi usishangae kesho na kesho kutwa ukausishwa na janga fulani, kisa eti ulitamka.
Mmeshamrefer slaa vya kutosha sasa kwa ile kauli yake, mmeua watu kweli, mmewajeruhi watu kweli, mmevamia mikutano ya cdm kila wakati na kuwavuruga kadri mlivyopenda, mmewasingizia watu tuhuma mbalimbali na kuwaweka ndani huku mkiendelea kuibeba kauli ya slaa huku mkijua wazi hakumaanisha mnachokifanya.
Na bado hata katika kufanya hivyo bado hamjawa-convince wananchi waamini kuwa eti ni slaa/cdm wamehusika, wananchi wengi wanajua ukweli. Kwa hiyo mtaendelea kutumia hicho kisingizio mpaka lini? Mpaka hasira za mungu zitakapojaa kikombe?
 
Mwigulu alikuwa anamvizia Mhe.Mbowe ili la mauaji yamchafue jijini Mbeya au hata kumuua kisha watengeneze mgogoro kivuli ndani ya CHADEMA kwamba wanauana wenyewe, baada ya mazingira kumkaba kutokana na vijana hodari wenye kadi za CCM na moyo wa CHADEMA wakitoa taarifa za mwenendo wake kwa makamanda wa CHADEMA aliamua kukimbilia Arusha ili kutekeleza mission yake. Risasi iliyopigwa kwenye tank la mafuta ambalo alikuwa anahutubia Mhe.Mbowe haikuwa bahati mbaya bali failed mission. Taarifa nilizopenyezewa na mdau mmoja ambaye anahusika na masuala ya usalama amesema, "kuna mambo yanatokea ni ngumu kuamini kama Mungu hayuko upande wa CHADEMA, maafa yangekuwa makubwa zaidi angekuwepo Dr.Slaa maana ndiye aliyekuwa mlengwa mkuu tangu awali kwani wanaamini ndiye kikwazo kikubwa cha kuisambaratisha CHADEMA" Kimsingi siasa za Mwigulu si nzuri kwa hatma ya amani ya nchi yetu, .

Lakini sisi raia wa kawaida tuna sali na kuomba kwa kufunga.nawaambia Mungu yu karibu kutenda dhidi ya hawa wadhalimu, tutashuhudia anguko lao kuu.Tuendelee kusali na kuomba, mh.Lema HUKO ULIKO funga na usali sana tayari mungu amejidhihirisha kwenu wewe na mbowe tunaamini mungu amesikia sala za watanzania.AMINA
 
Naungana na wote wanaolaani maovu na mauaji ya kisiasa yanayoendelea ktk nchi yetu kwa sasa. Na kwa namna yeyote CCM na serikali kwa ujumla hawawezi kukwepa lawana hizi aidha iwe wanahusika moja kwa moja au vikundi hasimu ndani chama na serikali.

Dr W.P.SLAA aliwahi kutabiri kwamba kwa namna mambo yanavyokwenda ktk nchi yetu itafika wakati nchi haitatawalika.Watu wengi hawakumwelewa na mpaka sasa wapo wahafidhina ndani ya chama tawala na serikali hawaelewi logic iliyomo ktk statement ya huyu mkombozi.

Mimi na wananchi wengi wengine tu
limwelewa kwa sbb kwa kadiri
watu wanavyojitambua,wanavyojua nafasi,nguvu na mamlaka yao juu ya utawala wa nchi yao kama wananchi,kwa kadiri wanavyojua serikali yao inatakiwa kufanya nini kwao halafu haifanyi.....ni wazi kuwa upinzani dhidi ya serikali na chama kinachoongoza serikali hiyo utakuwa mkubwa sana na wananchi ni lazima watafute mbadala na kwa sasa ni wazi substitute ya wanancnhi ni CDM!!

Kinachotokea sasa,kila sehemu serikali inapokumbana na upinzani juu ya jambo lolote toka kwa wananchi k.v migomo ya walimu,madaktari,wanafunzi,wananchi kugoma kuchangia shughuli za maendeleo pamoja na hili latest la mgogoro wa raslimali gesi ya Mtwara haraka haraka kinachokuja kwenye vichwa vya baadhi ya watawala na wana CCM wavivu wa kutafakari mambo ni hii kauli ya Dr Slaa wanayoiita ya uchochezi!!..Na uchochezi wa huyu Daktari ni mzuri sana maana ni uchochezi positive,unachochea na kuamusha ufahamu wa watu-KUJITAMBUA kwa sababu;
  • Tumeonewa na CCM kwa miaka mingi kiasi cha kutosha
  • Tumenyanyaswa na CCM miaka mingi kiasi cha kutosha
  • Tumedhalilishwa na CCM miaka mingi kiasi cha kutosha
  • Na tumedandanywa na CCM miaka mingi sasa kiasi cha kutosha...sasa INATOSHA liwalo na liwe!
Ndiyo maana wameshindwa kumpeleka Dr W P SLAA mahakamani kumshtaki kwa kauli ya uchochezi kwa sababu moja tu UCHOCHEZI MTAKATIFU kama wa YESU KRISTO enzi za utawala wa PILATO haushtakiwi mahakamani kwa sababu kamwe haushindwi....lakini njia rahisi na nyepesi huwa ni ku-apply ile inayoitwa STATE TERRORISM kwa kutengeneza matukio ya kuogofya na kutisha wanaharakati wa ukombozi na wakati mwingine kuua kabisa!!...

Walifanya hivyo enzi za YESU kristo,na sasa yanatukia enzi za akina Dr Slaa, Mbowe, G. Lema, T.Lissu, Z.Kabwe, Rev.Msigwa, Wenje,J.Mbilinyi a.k.a Sugu na wengine wengi waliojaribu kabla wakashindwa wakajisalimisha kwa watawala k.v Mrema,Mbatia, Lipumba,Rev.Mtikila,Seif Shariff Hamadi nk

Yaliyotokea Arusha ni mwendelezo wa uhalifu wa kimfumo unaoratibiwa na serikali yenyewe. Ndiyo maana kina Nape,Mwigulu na wengine waliopewa kusimamia kazi hiyo ni majasiri kabla na baada ya kutekeleza njama zao.....wanalindwa na mfumo. Hawa ni wanatumika tu km madodoki ya kujisugulia wakati wa kuoga.

Naungana na wapambanaji kuutokomezelea mbali udhalimu huu chini ya serikali ya CCM ili kuikomboa upya Tanganyika yetu chini ya wakoloni weusi.ADUI TETU SI NAPE, SI MWIGULU NCHEMBA,SI JULIANA CHONZA,SI MWAPAMBA bali ni MFUMO HUU ULIOKWISHA KUOZA ambao hawa ni chembechembe tu ndani yake!!

WanaJF bila kujali itikadi zetu,tujiulize kwa pamoja kwanini yeye ndiyo anatajwa sana!?

CCM wanatakiwa waambie Watanzania kama wameamua kuanzisha Kikundi cha Kigaidi na Mauaji chini ya uongozi wa Mwigulu Nchemba.

Kuna kila dalili na kila alama zinazoelekeza kwa Mwigulu Nchemba kwamba lazima anahusika na mlipuko huu kwa njia moja au nyingine. Naamini kabisa kuwa Mwigulu Nchemba anatakiwa awe mtuhumiwa nambari wahedi.

Iko siku huu unyama utawekwa hadharani na ndipo hukumu itakapowashukia hawa maharamia wa CCM kama umeme.
 
Back
Top Bottom