Utafiti: Shule za msingi zakithiri kwa ngono

Utafiti: Shule za msingi zakithiri kwa ngono

Kama niko sahihi nadhani US ndio inaongoza kwa mimba za utotoni.. Kule binti wa miaka 15,16 kuzaa si jambo la kushangaza sana...

Alafu ukute huyo kijana wako anagombaniwa na wasichana wa miaka 13, 12... Hali ni mbaya aisee..

What you are saying is quite true Mkuu.

Sijui dunia inaenda wapi.
 
Back
Top Bottom