Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
- Thread starter
- #41
Ni kawaida tu, ndio kizazi ambacho CCM imekipanda maana Malaya wote Tanzania wanaamia Dodoma kipindi cha Bunge... Tena wanasema hili bunge refu la budget malaya anaweza hata kurudi na Vits mbili kwa biashara inavyolipa..
BTW si nasikia kuna Mtu mmoja mkubwa sana nchi hii alilala Hostel pale Mabibo akiwa Waziri wakati huo na kuacha Mke nyumbani?? Sasa sijui aliwapiga exile roommates wa huyo Msichana au walilala wote humu... Nchi imeoza hii ndio maana wadada wasio na Career yoyote mjini wanatembea na magari ya kifahari..
Hakika inasikitisha kama ni kweli.
Hebu funguka hiyo habari ya Waziri Mkuu.
Lakini kinachosikitisha zaidi hawa ni watoto wadogo sana 12 - 14 years.
Why?
And what need to be done?