Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba

Walijitokeza wanaume MIA MBILI ishirini na moja tu (121), then watu wanaconclude eti NUSU ya wanaume TZ wagumba??

Well, we have been warned though re: kuweka laptop kiunoni pamoja na unene uliopitiliza
 
Kuna haja ya kufanya utafiti wa kina na kuomba ushauri au kuisoma taarifa yenyewe vyema kabla ya kuitoa kwenye vyombo vya habari.

1. Si kweli kwamba nusu ya wanaume ni wagumba. Nasema hivi kwa sababu watu waliokwenda kupima tayari walikua na tatizo, hivyo ukiwapima lazima utakuta kuna tatizo. Huwezi kwenda kupima manii kwa shida ya kuumwa jicho, bali unaenda pale baada ya kuona kuna shida kwenye issue za uzazi, hivyo basi uwezekano wa kukutwa na tatizo ni mkubwa kwa wale waliokwenda hapo. Aendeaye sipitali lazima ana shida, na ukiona zinduma ambari iko nyuma..

Sawasawa. Wamepimwa wanaume waliohisiwa ni wagumba na katika hao, NUSU yao confirmed wagumba kweli
 
Uongo mtupu, mbona kila siku wanawake wanjifungua? wanazalishwa na nan?
 
NUSU YA WANAUME NCHINI NI WAGUMBA. Nashindwa kupata maelezo kamili na kuweza kukubaliana na utafiti huu usemao kwamba nusu ya wanaume nchini ni WAGUMBA kwanini nashindwa kukubaliana na utafiti huu 1.Tukiangalia Idadi ya wananchi watanzania imeongezeka hadi kufikia watu 45milioni ?????????????? na taarifa ya serikali inaliongelea jambo hilo kila siku na kuwaomba watanzania wazingatie mpango huu wanaombwa kupanga uzazi wa mpango, mama zetu,wake zetu, Dada zetu wakienda kwenye vituo vya Afya wanapewa somo hili kuhusu uzazi wa mpango yaani kupunguza wingi wa watu kwa wanawake kupewa vidonge vya uzazi wa mpango, kuchoma sindano na hata wengine kufunga kizazi na kadhalika. kama hali iko hivi kwa mtu wa kawaida atakubaliana na utafiti huu?????????na kama ni sahihi ina maana wanawake wengi waliobahatika kupata uzazi wanakwenda nje ya Ndoa mara nyingi zaidi na kulifanya Taifa kuwa na watu wengi zaidi tofauti na uwezo wa uzalishaji????????? kama wanaume wengi ni wagumba inamaana wasio wagumba wanazichangamkia zaidi ndoa za wenzao na kuwazalisha zaidi wanawake nje ya ndoa ????????? naomba Mtoa tafiti huu wa nusu ya Wanaume wa Tanzania ni WAGUMBA. anifafanulie juu ya hili vinginevyo nitachelewa kukubaliana na utafiti wake.Mujwahuzia.
 
mhhhhh!!!!!!!!!!!!!!! sikubali mbona nina watoto mpaka wengine ninawakimbia mmmmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!! sikubali kesi zote za kukataa watoto zilizopo MAHAKAMANI mmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!! HAINIINGII AKILINI mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa "sample" waliyotumia hawa madaktari haikuwa "representative ya population" na hivyo majibu ya utafiti waliofanya hauwakilishi hali halisi. Wanaokwenda kupima afya ya uzazi ni wale ambao tayari wana matatizo ama ya kutafuta watoto au ya kujua kama watoto walio nao ni wa kwao na hivyo kupima ni moja ya njia za kutafuta jibu la matatizo yao.
 
Walijitokeza wanaume MIA MBILI ishirini na moja tu (121), then watu wanaconclude eti NUSU ya wanaume TZ wagumba??

Well, we have been warned though re: kuweka laptop kiunoni pamoja na unene uliopitiliza

Wangesema nusu ya wanaume wanaokwenda hospitali kwa matatizo ya uzazi ni wagumba ningewaelewa.
 
Back
Top Bottom