LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,115
- 27,101
Desminders ni watu ambao hawajali kujua kuhusu mambo mbalimbali yanayo tokea katika maisha yao ya kila siku.
Mambo hayo yanaweza kuwa yanawahusu wao wenyewe, rafiki zao, ndugu zao wa karibu, classmates wao, waalimu wao, mtaa wao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao, na hata nchi yao kwa kutaja machache.
Kwa mafano, desminder anaweza akawa hajui jina la mwalimu anaye mfundisha kila siku darasani, majina ya classmates wake, majina matatu ya mama yake mzazi ama tarehe yake ya kuzaliwa kwa kutaja machache.
KITU GANI KINAWAFANYA WATU KUWA MA – DISMINDER ?
Kulingana na utafiti wangu, zipo sababu kuu mbili zinazo wafanya watu kuwa ma-disminder nazo ni :
MOSI : LOW IQ
Nimefanya utafiti wangu kwa watu wapatao ishirini ambao wote ni ma-disminder na kujiridhisha pasi na shaka yoyote kwamba, watu hawa wana weak intellect.
Sababu ya pili ni :
UNAFIKI : Hapa mtu ana pretend kuwa disminder but kiuhalisia yeye sio disminder.
ATHARI ZA KUWA DISMINDER
Kulingana na utafiti wangu, ma-disminder wengi huishia kuwa na maisha magumu sana kwa sababu ya KUTOPATA TAARIFA MUHIMU ZINAZO WEZA KUWASAIDIA KATIKA MAISHA YAO : Ma disminder wengi wanaamini kuwa, kufahamu ama kujua kuhusu vitu na masuala mbalimbali ni ushamba, so huwa hawajishughulishi kujua ama kufahamu kuhusu masuala mbalimbali yanayo tokea katika jamii, jambo hili linawafanya wakose fursa mbalimbali kwa sababu ya kutokuwa na taarifa nazo.
MY TAKE : ACHA KUPRETEND HAUJUI AMA HAUJALI KUHUSU WATU, VITU NA MASUALA MBALIMBALI YANAYO TOKEA KATIKA JAMII. MWANADAMU AMEUMBWA AKIWA NA HULKA YA KUPENDA KUJUA KUHUSU WATU, VITU NA MASUALA MBALIMBALI YANAYO TOKEA KATIKA JAMII INAYO MZUNGUKA. SO UNAYEJIFANYA HAUJALI KUHUSU VITU HIVYO UNAPINGANA NA NATURE YAKO.
HATA MUNGU MWENYEWE ANAPENDA KUJUA KUHUSU MASUALA YANAYO WAHUSU WATU, NDIO MAANA ADAM NA HAWA WALIPOKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI, MUNGU ALIWAULIZA KUTAKA KUJUA WAPO WAPI NA KITU GANI KIMETOKEA. HAPA ANATUFUNDISHA HATA SISI KAMA WANADAMU TUWE NA TABIA YA KUWA KU -QUESTION NA KUFAHAMU KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YANAYO TOKEA KATIKA JAMII YETU!
UKIMUONA MTU ANAJIFANYA DESMINDER BASI KAMA SIO MGONJWA WA AKILI BASI NI PRETENDER.