UTAFITI: Aina za mabinti na tabia zao katika mapenzi

UTAFITI: Aina za mabinti na tabia zao katika mapenzi

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,466
Reaction score
11,641
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao.
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa
wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. wasichana warefu huwa hawawajali
wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo
3. wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,M
ATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa
WAAMINIFU katika
mapenzi
4. wasichana WANENE huongoza kwa
MAPENZI YA KWELI
yaani akipenda amependa kweli
5. wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni
WABISHI sana
na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSI
wanaongoza kwa
KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
7. wasichana weupe wakiongoza kwa
kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda
kuolewa na waarabu kulko wanaume
weusi.
Je kuna kundi jingine unalolijua na tabia zao?
 
kuna 'watafiti na wachunguzi 'wangapi hapa JF ?
 
namba 4 hapo hujakosea kabisa.... mapenzi mingi mingi kwao ila wasiwe wanene wa kupitiliza sasa, jus nyama nyama za kushika
 
Umetumia methodology gani katika risechi yako?
 
Utafiti wako umefanyia wapi wewe kwanini umeegemea kwa wanawake na si wanaume.
 
Sasa mbona umemaliza makundi yote ...

Maanake hakuna mwanamke perfecto except wanene...teh teh teh promotion at work...

Na huyo mnene maanake asiwe mrefu, mfupi, mweupe wala mweusi...otherwise kwa logic ulotumia atabeba tabia za hayo makundi...na tena asiwe na dimpoz, kithembe wala matege...awe mnene tu afu colorless and height less..


Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao.
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa
wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. wasichana warefu huwa hawawajali
wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo
3. wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,M
ATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa
WAAMINIFU katika
mapenzi
4. wasichana WANENE huongoza kwa
MAPENZI YA KWELI
yaani akipenda amependa kweli
5. wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni
WABISHI sana
na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSI
wanaongoza kwa
KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
7. wasichana weupe wakiongoza kwa
kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda
kuolewa na waarabu kulko wanaume
weusi.
Je kuna kundi jingine unalolijua na tabia zao?
 
fumbua.....wenye MACHO makubwa vs Macho madogo yaliyoingia ndani......
 
Jamani...hizi tafiti zenu..mmh!!

Mkuu, kitu kizuri hajasema ni utafiti au uchunguzi. Ametumia neno "inasemekana"
Inaweza kuwa mawazo yake tu au kasikia mahali. Si vitu vya kutilia maanani kwa lugha nyingine.
 
Back
Top Bottom