UTAFITI: Aina za mabinti na tabia zao katika mapenzi

Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao.
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa
wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. wasichana warefu huwa hawawajali
wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo
3. wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,M
ATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa
WAAMINIFU katika
mapenzi
4. wasichana WANENE huongoza kwa
MAPENZI YA KWELI
yaani akipenda amependa kweli
5. wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni
WABISHI sana
na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSI
wanaongoza kwa
KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
7. wasichana weupe wakiongoza kwa
kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda
kuolewa na waarabu kulko wanaume
weusi.
Je kuna kundi jingine unalolijua na tabia zao?

Tafiti yako inaukweli kiasi haswa namba 4 na 5
 
Nina wasiwasi na uchunguzi wako. Mimi sio mrefu wala sio mfupi,sio mnene wala sio mwembamba,ni maji ya kunde,nina dimpoz na mwanya. Hebu nipe zangu manake hapo sipo.

Na unahips hivyo wewe unaongoza kwa kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano ya mapenzi
 
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao.
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa
wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. wasichana warefu huwa hawawajali
wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo
3. wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,M
ATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa
WAAMINIFU katika
mapenzi
4. wasichana WANENE huongoza kwa
MAPENZI YA KWELI
yaani akipenda amependa kweli
5. wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni
WABISHI sana
na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSI
wanaongoza kwa
KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
7. wasichana weupe wakiongoza kwa
kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda
kuolewa na waarabu kulko wanaume
weusi.
Je kuna kundi jingine unalolijua na tabia zao?

!
!
kuna ukweli mwingi mno hasa upande wangu.
1. J alikuwa mfupi na alikuwa ananipenda na kunijali mno mno.
2. kiukweli kabisa O hajui kubembeleza hata kidogo na haogopi lolote.
3. S alikuwa na mahipsi fulani ila duh...niliweka siri za ndani kibao, nilichapiwa mno.
4. N amefit vizuri mno katika hili, hadi leo anaclaim eti ni mimi tu hakuna mwingine no matter what.
5. A amethibitisha hili, baada ya mimi again and again....jamaa umetishaje na utafiti wako.
6. Yule namba 3 anafit hapa pia,lol.
7. my Z falls here, anamind kinoma mikato hii.
Mtafiti umetisha mbaya, mule mule.
 
Tena pumba za mpunga hazifai kwa lolote

mwenzangu! yaani hafikirii ana dada zake, mashangazi na hata mama yake anaweza akaingia kwenye category mojawapo hapo. kweli kuna wanaume kama zigo la mavi, usipolitua kwa uzito utalitua kwa harufu.
 
bora mkuu una experience nadhani ni vema sana
 
mwenzangu! yaani hafikirii ana dada zake, mashangazi na hata mama yake anaweza akaingia kwenye category mojawapo hapo. kweli kuna wanaume kama zigo la mavi, usipolitua kwa uzito utalitua kwa harufu.

kumbe ndo point yako hii! Usijenge desturi ya kukimbia tatizo au ukweli kwa sababu unakugusa binafsi au watu wa karibu yako.
 
Nina wasiwasi na uchunguzi wako. Mimi sio mrefu wala sio mfupi,sio mnene wala sio mwembamba,ni maji ya kunde,nina dimpoz na mwanya. Hebu nipe zangu manake hapo sipo.

Watu km nyie wana tabia ya kuwa na michepuko sana halafu wana mapenz na pesa kuliko uoendi halis.
 
Back
Top Bottom