UTAFITI: Aina za mabinti na tabia zao katika mapenzi

UTAFITI: Aina za mabinti na tabia zao katika mapenzi

mm mweusi,ninahps, mwembamba ila cna cfa hzo hata1
 
Umejichanganya soma vizuri mtiririko.
 
bora mkuu una experience nadhani ni vema sana

!
!
umekatiza mulelule mkuu, yani kama unawaona vile. Kuna wengine nimewaacha kwa muda ule nasoma ndio walikuwa wanakuja kwa kichwa otherwise naweza kusubwtute na bado majibu yakawa karibu.....Kuna E ni mweupe, P pia mweupe alitokomea Zenji, kuna V sijui yuko wapi mweusi, Al wa Dom mwembamba mweusi, aisee A wa mbeya mnene mweusi, dah hao ndio ninaowakumbuka kwa haraka haraka yani na wote nikiangalia,aisee au kuna kamchezo sijakagungua hapa! haiwezekani uwe sawa kiasi hiki unless ulikuwa unawastudy ninaowajua mie
 
Ungetuambia tabia za waliokatwa visimi ningekubali kwani zinajulikana ila kwa hao wengine ni projo tu hakuna uhusiano wowote na uliyosema.
 
Ungetuambia tabia za waliokatwa visimi ningekubali kwani zinajulikana ila kwa hao wengine ni projo tu hakuna uhusiano wowote na uliyosema.

sasa kama unasema zinajulikana kuna haja gani ya kuzitafiti tena mkuu
 
Good observation...
I see some technical truth inside
 
Back
Top Bottom