Utafanyaje?

Utafanyaje?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Umelikuta embe dodo chini bado linatoa utomvu.Tatizo umelikuta embe hili chini ya mpapai na huu mpapai haupakani na mwembe wowote.Utachukua uamuzi gani?utalila au utaliacha?
 
Ndo wanga wenyewe huo, toka lini embe dodo na mpapai?
 
Sio fumbo wala kitendawili.
 
Umelikuta embe dodo chini bado linatoa utomvu.Tatizo umelikuta embe hili chini ya mpapai na huu mpapai haupakani na mwembe wowote.Utachukua uamuzi gani?utalila au utaliacha?

nitafikiria kwanza.......ila sitafikiria sana....nitakula embe
 
Okota embe peleka pwani,yatokanayo yatajulikana mbele ya safari...duh!
 
sijibu hadi jaguar aseme.
Ondoa shaka,najua ni vigumu kulikuta embe chini ya mpapai ila kuna jamaa mmoja ilimtokea hivyo,alilikuta dodo chini ya mpapai akabaki kuchanganyikiwa asijue la kufanya.
 
We vipi? Kwani ukiokota pesa barabarani au karibu na kichaka au eneo ambalo hakuna benki karibu?
Au kwa sababu ni tunda!
 
mmhhh!! itakuwa ngumu kwa kweli.
 
Nalichukua kisha nalisalimisha policepost kama ni lamazingara wale wao yatakayo wakuta mie simo maana wamezoea vya bure.
 
hata kama nilikuwa na njaa inaisha.....sithubutu!!!
 
Back
Top Bottom