Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
sitalila wala sitaliacha, ntaenda kutengenezea juice then ntakunywa apo vp?Umelikuta embe dodo chini bado linatoa utomvu.Tatizo umelikuta embe hili chini ya mpapai na huu mpapai haupakani na mwembe wowote.Utachukua uamuzi gani?utalila au utaliacha?