MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Unapokuwa na mahusiano yasiyoeleweka, kila siku ugomvi over everything ......
It means your just not compatible…..Unapokuwa na mahusiano yasiyoeleweka, kila siku ugomvi over everything ......
Si unasepa? Au unasubiri nini?
Si unasepa? Au unasubiri nini?
It means your just not compatible…..
Mnakaa mnajadili na kujua tatizo nn kisha mnakubaliana kutatua sababu zinazopelekea ugomvi wenu kisha mnaendelea na maisha yenu ya furaha. Kama kutakua bado hakuna dalili ya maelewano unamwambia mwenza mpeane muda mjitafakariUnapokuwa na mahusiano yasiyoeleweka, kila siku ugomvi over everything ......
It means your just not compatible ..
Compatiable vipi sijaelewa huenda ikawa nasisi tupo kwenye aina za mahusiano
Kama ugomvi ni mwingi kuliko furaha maana yake hamuendani kwasababu hakuna maelewano mazuri,hakuna kusikilizana!kwenye mahusiano yoyote lazima kuwe na adjustments ili mkutane katikati na ksma hiko kitu kimekosekana ujue incompatibilities ni nyingi!