Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,340
- 3,193
Je kama ningekuwa na mi nna haraka nikaweka mfukoni bila kuhesabu, hiyo tutaiitaji wizi bila kukusudia?Swali gani hilo? Kukaushia hela uliyozidishiwa hakuna tofaut na wizi.
Je kama ningekuwa na mi nna haraka nikaweka mfukoni bila kuhesabu, hiyo tutaiitaji wizi bila kukusudia?Swali gani hilo? Kukaushia hela uliyozidishiwa hakuna tofaut na wizi.
DKT samia ana kazi kubwa sana kuongoza watu kama weweView attachment 3377460
Kuna muda unakuta Dukani amenunua kitu alafu muuzaji anajisahau anakuongezea chenchi pasipo yeye kujua
Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy
Utafanyaje ?
Na Unajiskiaje na alf ulikuwa hauna hela ?
NamrudishiaView attachment 3377460
Kuna muda unakuta Dukani amenunua kitu alafu muuzaji anajisahau anakuongezea chenchi pasipo yeye kujua
Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy
Utafanyaje ?
Na Unajiskiaje na alf ulikuwa hauna hela ?
Ila kuna mwamba kasema kama ni ya mfuasi wa wale wezi kijani anavunga chaapKuondoka na hiyo pesa ni wizi kama wizi mwingine tu
Hata mimi na kausha bwasheeIla kuna mwamba kasema kama ni ya mfuasi wa wale wezi kijani anavunga chaap
Hadi hurumaHali ilivyo ngumu anaanzaje kuzidisha, nasepa nayo kama mifuko imetoboka, kama niko vizuri namrudishia.
Majuzi kuna maza mmoja nilienda kununua maji ya Afya jero, nikampa buku sijui alikuwa kadata akanirudishia elfu5! Nikaona hii mbona atajipa loss nikamkumbusha "nimekupa elfu1 mama" akanipa sawa hata hakushukuru, iliniuma kinoma nikatamani nisingemrudishia.
Hadi weweDKT samia ana kazi kubwa sana kuongoza watu kama wewe
Nashangaa sana, inakuwaje mtu anapata nguvu ya kuuliza swali kama hili,.....hii nchi ni majizi matupu🚮🚮Kuondoka na hiyo pesa ni wizi kama wizi mwingine tu