Utafanyaje kama hujala kama siku mbili hivi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
halafu unakutana na huo msosi,utakula au?
10653618_832119573473068_3768940348581314190_n.jpg
 
Hapo inabidi nizimue kwanza viroba kama saba hivi halafu ndo niangalie utaratibu wa kubandua ganda after ganda!

Hm! Yataka moyo wa boko haram kweli!
 
ila mtu ukizimua inawezekana kabisa,ukiona hamna msosi mwingine unasema aaah yanini ngoja niupige huu,kesho ukiamka unaanza kujiuliza jana nilikula nini
 
Hahahaaa! mkuu hakuna jinsi hapo!

Inabidi ujitoe akili kwanza kama kucheza na maiti ukiwa na akili timamu tena kwa mara ya kwanza!

Haiwezekani kabisa kula huyo organism hivi hivi...
 
Uncheza na njaa nini..hilo si rost kabisa...tena wakikuwekea dona.....aaaaaaahm
 
Mkuu watu wanakula nyama ya mutu seuze kajoka kadogodogo hako. Acha kuleta mchezo bwana
 
Hapo inabidi nizimue kwanza viroba kama saba hivi halafu ndo niangalie utaratibu wa kubandua ganda after ganda!

Hm! Yataka moyo wa boko haram kweli!

Ukizimua na njaa hiyo tunakupoteza hivi hivi
 
Inahitaji moyo sana kula kitu kama hiki au nyama ya mbwa n.k. kama kuna maji ya kunywa basi haya yanatosha kabisa. Kwani hakuna ugali, mchicha na samaki wa kukaanga? lol! kwi kwi kwi kwi.

Yeah ntakunywa maji nta savaivu ivo ivo kuliko ilo dudu vipi wewe ungekula?
 
Inahitaji moyo sana kula kitu kama hiki au nyama ya mbwa n.k. kama kuna maji ya kunywa basi haya yanatosha kabisa. Kwani hakuna ugali, mchicha na samaki wa kukaanga? lol! kwi kwi kwi kwi.

Hamna leo ugali mechoka kusonga kwapa linauma lol
 
Back
Top Bottom