Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,372
- 111,694
Mchuzi si umetoka humo lakini?
Umetoka humo wapi tena bi mkubwa?
Mchuzi si umetoka humo lakini?
Hapo inabidi nizimue kwanza viroba kama saba hivi halafu ndo niangalie utaratibu wa kubandua ganda after ganda!
Hm! Yataka moyo wa boko haram kweli!
Umetoka humo wapi tena bi mkubwa?
Kwenye huyo mdudu
Hahahahahaaaaaaaaa! Hii kali!...unagonga mchuzi tu...
hahahaa! Mama umeona msosi wenyewe ulivyo?.....mbele ya njaa, hakuna cha viroba wala nini
miss neddy alivyo na moyo ka yai.. LolKangezimia kabisaa
watu hawajui njaa ilivyo,ufungiwe chumbani hamna kitu,utakula hata mbao.miss neddy alivyo na moyo ka yai.. Lol
Ningeokota ventrical na auricles tu!
Mbele ya njaa ya kufa hakyamama huo msosi naufumbia macho tu!
Dakika sifuri haupo... Lol
Kangezimia kabisaa
kumbuka hapa mpenzi hatujala siku mbili.. Yani pasi ndefu mfululizo saa 48!hahaha nini kuonja kuuona tu ningekuwa hoi lol
watu hawajui njaa ilivyo,ufungiwe chumbani hamna kitu,utakula hata mbao.
kumbuka hapa mpenzi hatujala siku mbili.. Yani pasi ndefu mfululizo saa 48!
Mi ningekutundikia drip ya mchuzi kabisaa ili usife!
ilinikuta nikaona hamna lolote,nikakata vitungu kwenye sahani nikaanza kula kama wali vileHalafu ukishaugonga tu lazima utausaka tena!
Niulize mimi ilikuwaje siku ya kwanza senene!
Mbona nilikwenda nyansenye kuwasaka..! Lol
KOKUTONA Ruttashobolwa na KakaKiiza wanaelewa vyema nilichosema