Utafanyaje...ilishawahi kukuta?

Utafanyaje...ilishawahi kukuta?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
10381982_640259119394970_8627919596074385436_n.jpg
 
Alafu ukute maji yenyewe ni yachooni, alafu na wewe ndo umejipiga nguo zako white unawahi usaili muhimu sana.
 
Nakumbuka ilikuwa kitambo kidogo nipo na mjomba wangu ni mkorofi sana tulimwagiwa maji tena ile ya dharau kabisa alichofanya alichukua jiwe akawarushia
 
Asipo kuwa mstarabu akasimama na kuniomba radhi kiungwana walah naapa na hapa bongo foleni za kutosha na chukua maji machafu nawafatilia mpaka niwamwagie na mimi
 
Nakumbuka ilikuwa kitambo kidogo nipo na mjomba wangu ni mkorofi sana tulimwagiwa maji tena ile ya dharau kabisa alichofanya alichukua jiwe akawarushia
Alikua na shabaha? Kama alikikosa kioo ndo mtakua mliumia zaidi..........
 
Aisee Patrickn! Yaani umenikumbushia yaliyonipata siku moja nikitokea sekondari ya wasichana kibosho.Mvua ilikuwa imenyesha jana yake na barabara ilijaa madimbwi ya maji.Ikaja landrover moja ikiendeshwa na sista(mtawa wa katoliki) mmoja rafu kweli.Alinimwagia maji yote ya dimbwi alilolikanyaga. Alipoona hivyo alishuka haraka kwenye gari na kunijia akisema "oh my God!" Aliponifikia alisali sala ya Bwana, akanishika mkono na kuniambia "Pole mtu wa Mungu"

Kamwe siisahau hiyo siku.
 
Last edited by a moderator:

ikaishia hapo?
 
Bora hata alionesha kujali
 
Shida ni hapa bongo watu hawajali utu wa mtu dharau kibao,ila kwa wenzetu bila shaka kamera zimefanya kazi yake na jamaa watakuwa wamemalizana.
 
Alafu ukute maji yenyewe ni yachooni, alafu na wewe ndo umejipiga nguo zako white unawahi usaili muhimu sana.
Hapa akili lazima ichanganyike na kinyesi, usikute usha haso sana kitaaa
 
ikaishia hapo?
Elungata, iliishia hapo ila uchungu nilokuwa nao ni kwamba huyo mtawa
alikuwa anaenda Moshi mjini ambako ndiko nilikuwa naelekea. Hakujali kuniuliza ninakokwenda ila
haraka aliingia kwenye gari na kutokomea kuelekea Moshi mjini.
 
Last edited by a moderator:
Elungata, iliishia hapo ila uchungu nilokuwa nao ni kwamba huyo mtawa
alikuwa anaenda Moshi mjini ambako ndiko nilikuwa naelekea. Hakujali kuniuliza ninakokwenda ila
haraka aliingia kwenye gari na kutokomea kuelekea Moshi mjini.
Aliogopa ungemtia majaribuni............
 
Inanikumbusha nikiwa kwenye pikipiki eneo la kutoka mombo hedaru kwene diversion ilikua imenyesha mvua maji yamejaa nikakutana na basi la harambee likanirushia maji yenye tope hadi helmet ikaziba sikuweza ona mbele. Sikuweza kulipiza kumaliza kujifuta gari ilishatokomea
 
dah,ishawahi kunitokea naenda shule maeneo ya aset(fm zamani) ,karibu na makaburi ya kinondoni,mtoto wa mama alinimwagia mimaji ya tope. Niligeuza kurudi home hapo hapo na bahati nzuri nilikuwa nimevaa vest ya basketball ya kili ndani ya shati la shule..wanaboa sana watu wa hivi na wengi wao ni magari ya wazazi wao au ya kuazima!!!
 
Ni leo hii muda wa saa nane km na nusu hivi natoka zangu tra mwenge naelekea kituo cha basi cha mwenge. Gari namba T 625 AHV aina ya Rav4 ikapita pale na kunimwagia maji ya chooni suruali nzima ililoa! Jamaa akaenda mbele kidogo na kusimama akaniomba msamaha huku akitabasamu na kuendelea kushikilia usukani. Sikufanya lolote ila nimemwambia tu......."shauri lako" then nikaendelea na safari yangu ya kwenda kibaha maili moja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom