Daah pole,mimi kiukweli nadhani angeleta fire kuzima moto....Ni leo hii muda wa saa nane km na nusu hivi natoka zangu tra mwenge naelekea kituo cha basi cha mwenge. Gari namba T 625 AHV aina ya Rav4 ikapita pale na kunimwagia maji ya chooni suruali nzima ililoa! Jamaa akaenda mbele kidogo na kusimama akaniomba msamaha huku akitabasamu na kuendelea kushikilia usukani. Sikufanya lolote ila nimemwambia tu......."shauri lako" then nikaendelea na safari yangu ya kwenda kibaha maili moja!
Poleni sana mliopatwa na maswahiba haya, hebu niwaulize, hivi inawezekana ukamwagiwa maji ukiwa umesimama tu, katika hali ya kawaida huyu jamaa angekuwa ktk action ya kukwepa, involuntarily. Au kuna kautundu kamefanyika kwenye picha?