Utafanyaje hapa (only men)

Unaamshwa na mkeo asubuhi na mapema kama saa kumi na moja asubuhi, upo fresh akili imesha tulia . Anakwambia kuna deal anaomba umsaidie. Ila upo choka mbaya, hata pesa ya daladala shida, nyumba yenyewe mnayo ishi ni tabutupu.

Unakaa vizuri kujua hilo deal??

" baba watoto, kuna mwanaume huko mjini ameniambia leo nikachukua hati niliyo nunua nyummba kwake pamoja na tsh. Millioni hamsini pesa kamili. Ila ili nipewe hivyo vyote natakiwa nimpe tunda kidogo tuu mara moja kama malipo ya hivyo vyote. Sasa naomba usikasirike naommba tuu niruhusu nimpe hitaji lake tubadili maisha kwani hata nikimpa si chumvi kwamba itaisha na utaikosa"

View attachment 39162

hii story ni realistic

haya mwanaume toa jibu;
yani me nitambusu na kuanza foreplay af nampa kitu ya maana.
hadi tunamaliza akili yote haiwazi tena hua ujinga wake.
 
Mwanamke kama huyu alishaanza toka mda mrefu ushenzi wake sasa ameona ahalalishe kwa kukueleza,uamzi:afungashe kila kilicho chake.
 
hivi wana jf mnaochangia humu mmewahi kuiona filamu inaitwa 'INDECENT PROPOSAL' ??????
 
Hapa hakuna mjadala wala maelezo. Aende huko huko ambako kuna mtu wa kumpa pesa na nyumba. Yaani hapo hakuna la zaidi kuwa mwanaume umeshadharaulika na kuna watu wana pesa zaidi yako. Mke anauma aise
 
ukishatoa ruhusa ni kuwa wewe umeshusha thamani yako na hautaheshimiwa tena, na anaweza fanya choche hata ukimuuliza ni dhahiri atakujibu tu kuwa huko ndiko kulikofanya tufanikiwe.
 
duh, huyo jamaa kashadharauliwa sana. ooooooopss, nilisahau kama ni kwa wanaume tu.
 
Mpaka Mkeo anafikia hatua ya kukwambia hivo ujue tayari alisha cheat na huyo Tajiri. Hapo anatafuta namna ya kutoka kwako (Ntoke Vipi). Hata ukikataa matakwa yake haisadaii, Ipo siku ukirudi nyumbani hutamkuta. ..When a woman fed u, there is nothing you can do about it
 
Kwanza nampa hongera kwani nitakuwa nimejuwa kuwa yupo aliyenizidi kwa ujanja wa kiwanja, tena nitashukuru kwa sana kuwa yeye ni mkweli wala hakutaka kunipa presha ya moyo,
 
kwanza nampa hongera kwani nitakuwa nimejuwa kuwa yupo aliyenizidi kwa ujanja wa kiwanja, tena nitashukuru kwa sana kuwa yeye ni mkweli wala hakutaka kunipa presha ya moyo,

nafikiri akirudi kutoka kwa jamaa atakukuta ulisha jitundika
 
"Indecent proposal"
A married woman agrees to have sex with another man for $1,000,000.
 
dah hapo kama ni mm nampiga talaka tu mana iwe isiwe kuliwa ataliwa tu na usikute ameshaliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom