Utafanyaje hapa (only men)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Unaamshwa na mkeo asubuhi na mapema kama saa kumi na moja asubuhi, upo fresh akili imesha tulia . Anakwambia kuna deal anaomba umsaidie. Ila upo choka mbaya, hata pesa ya daladala shida, nyumba yenyewe mnayo ishi ni tabutupu.

Unakaa vizuri kujua hilo deal??

" baba watoto, kuna mwanaume huko mjini ameniambia leo nikachukua hati niliyo nunua nyummba kwake pamoja na tsh. Millioni hamsini pesa kamili. Ila ili nipewe hivyo vyote natakiwa nimpe tunda kidogo tuu mara moja kama malipo ya hivyo vyote. Sasa naomba usikasirike naommba tuu niruhusu nimpe hitaji lake tubadili maisha kwani hata nikimpa si chumvi kwamba itaisha na utaikosa"

marriage-trouble-stop-your-divorce.jpg

hii story ni realistic

haya mwanaume toa jibu;
 
...teeh!, majibu kadhaa, . . .
Moja, nitafyonza afuu narudi kulala,
mbili, nitamwambia arudie tena alichosema,akirudia hivyo hivyo, anapoondoka asirudi. . . .
 
Abebe na begi lake aende ahamie huko huko kwa hiyo nyumba yake mpya
 
Mimi nitamruhusu aende ampe ila pesa itakuwa mali yake nami sitataka hata senti tano kwake wala nyumba yake akae mwenyewe. Hata hivyo atakuwa keshamchapa mpaka kamnunulia nyumba na kumpa pesa yote hiyo kwa vyovyote atakuwa ameshachangisha zake na zangu ndani ya k hivyo nitaendelea kuishi naye kama kawaida.
 
sasa si angeenda kugawa kimya kimya.. kwani lazima anitaarifu
 
Busara ya bure ni hii, mruhusu akachapwe apate anachokitaka na wewe chapa lapa bila ugomvi, nitatoa sababu. Mpaka anafikia hatua hiyo ujue kakudharau sana, kwa hiyo haisaidii kumzuia kwa sababu tayari keshachapwa.
 
Mimi nitamuuliza kwanini umeniomba ruhusa? Si ungeenda kimya kimya tu halafu; ukanidanganya kuwa nyumba na pesa umepewa urithi na mjomba wake bibi yako!
 
Mwanamke akitoa mapenzi kwa sababu ya material goods anakua na jina maalum kwa kiswahili: MALAYA
 
Siko tayari kudhalilika, wala kumdhalilisha nimpendaye kwa ajili ya pesa! Kama ameamua kunisaliti ni bora aende moja kwa moja asirudi. Binafsi siamini bado kama mapenzi ni pesa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom