Utafanyaje hapa (only men)

Mwanamke akitoa mapenzi kwa sababu ya material goods anakua na jina maalum kwa kiswahili: MALAYA

Kwa mwanaume ingekuwaje? Maana wanaongoza wanaume kufanya hivyo mara zote. Anatokea mwanamke ana hela anahamia kabisa wanawake wanakubali hiyo then inaisha why not you! Sisi wanawake tuko smart, wanaume wengi wanatunzwa na wanaume wenzao lakini hujui na siku inaenda, unajidai mke wangu ni mjasiriamali kumbe kuna mtu anatoa hela! hahaha men sometimes are stupid! poleni sana waungwana.
 
Kwanza ukasirike au kumchukia maana angetaka angeweza kufanya yote hayo bila wewe kujua ila huyu amakuwa mwaminifu kwako halafu wewe unamuona mbaya. Usikasirike bali muelimishe ya muhimu kwa ndoa yenu na madhara ya baadaye ukiruhusu na atakuelewa au mtafikia muafaka.
 
Samahani nina nilitaka kusema "usikasirike au usimchukie" sahihisha hapo juu.
 
Kwanza usikasirike au usimchukie maana angetaka angeweza kufanya yote hayo bila wewe kujua ila huyu amakuwa mwaminifu kwako halafu wewe unamuona mbaya. Usikasirike bali muelimishe ya muhimu kwa ndoa yenu na madhara ya baadaye ukiruhusu na atakuelewa au mtafikia muafaka.
 
Ipo siku atakuambia Mume wangu kuna Mwanaume anakutaka ana pesa sana mkubalie si mara moja tu upate mtaji.

Bora nibaki na umasiki wangu kuliko kuwa mtumwa wa mapenzi

daah,nimecheka bila ya kufurahi...ila daah kweli
 
kwa kuwa atakuwa amepata nyumba na pesa kwa mtaji wa mwili wake
si mbaya ila kwangu itakuwa mwisho wa kuishi naye
maana tayari uaminifu kwake ni 0
 
Huo muda waliokaa na kujadiliana na halafu kufikia makubaliano hayo unadhani bado hajatoa unyumba??. Mke akipata ujasiri wa kufanya hivyo anataka ukasirike umfukuze naye aende kutoa Tunda kwa uhuru zaidi na zaidi. Huyo ni wa kuachwa mara moja kwa sababu tayari kesha toa k....../t.......
 
[COLOR=#008000 said:
Sasa naomba usikasirike naommba tuu niruhusu nimpe hitaji lake tubadili maisha kwani hata nikimpa si chumvi kwamba itaisha na utaikosa[/COLOR]"

Inaonyesha kuwa huyo binti kwanza anatamaa kubadili maisha hivyo hata leo na kesho tena labda umefilisika atakwambia umruhusu akajiuze ili mpate hela ya ku-survive.

So take care...

Anyway mimi ningemkatalia then ningeanza kumfatilia nyendo zake maana yaonesha anatembezaga sana kwa matajiri ili tu apewe mkwanja.
 
Inaonyesha kuwa huyo binti kwanza anatamaa kubadili maisha hivyo hata leo na kesho tena labda umefilisika atakwambia umruhusu akajiuze ili mpate hela ya ku-survive.

So take care...

Anyway mimi ningemkatalia then ningeanza kumfatilia nyendo zake maana yaonesha anatembezaga sana kwa matajiri ili tu apewe mkwanja.

mbona kuna watu wanabadil maisha kwa kuwadhurumu wengine. Hilo la mkeo ndoo shida??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom