mmmhhh... Nitatafuta mtu nimkope hizo hela, wakija kudai "haki yao" namlengesha jamaa...
Mmmh!! Kwa nini umlengeshe??
We ungefanyaje?
Nairudisha.....wewe je?
Utafanya nini ukikuta kwenye simu yako meseji inayosema:
"Umepokea tshs. 2,000,000,000/= kutoka kwa David Cameroon, 09/11/2011, 14:37:11. Bado hajasema ni za nini ila kasema we jisikie huru kuzitumia"
Aisee hiyo msg mimi naikataa mara moja, coz ukikubali tu imekula kwako mazimaHiyo imekuja kwa ajili yako na sio mtu mwingine.....ila ni vizuri akatumiwa mukulu hiyo kitu!
:crutch:Utafanya nini ukikuta kwenye simu yako meseji inayosema:
"Umepokea tshs. 2,000,000,000/= kutoka kwa David Cameroon, 09/11/2011, 14:37:11. Bado hajasema ni za nini ila kasema we jisikie huru kuzitumia"
Na mimi ntawatumia
"Umepokea tshs. 2,000,000,000/= kutoka kwa Bazuka 09/11/2011, 14:37:11.