Utafanya Nini?

Utafanya Nini?

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,919
Utafanya nini ukikuta kwenye simu yako meseji inayosema:
"Umepokea tshs. 2,000,000,000/= kutoka kwa David Cameroon, 09/11/2011, 14:37:11. Bado hajasema ni za nini ila kasema we jisikie huru kuzitumia"
 
Katavi, Katavi, Katavi!

Umewaza nini lakini mpaka ukaja kupost huo uzi? Teh, teh, teh.
 
mmmhhh... Nitatafuta mtu nimkope hizo hela, wakija kudai "haki yao" namlengesha jamaa...
 
Naenda kununu kiwanja DUBAI. Hlf kwa hapa tz nafungua studio za ku burn Cd.
 
Haa,ha,haa...
Duu...
Unaweza kukataa ukijua milele,,
vip akisema mara moja 2...!
Haa,haaa
 
Utafanya nini ukikuta kwenye simu yako meseji inayosema:
"Umepokea tshs. 2,000,000,000/= kutoka kwa David Cameroon, 09/11/2011, 14:37:11. Bado hajasema ni za nini ila kasema we jisikie huru kuzitumia"

Hiyo msg mi ningeiforward kwa Mukulu, ye si ndo anasemaga bila kuzurura huku akitembeza bakuli, ati twafaa. !
 
Haa,ha,haa...
Duu...
Unaweza kukataa ukijua milele,,
vip akisema mara moja 2...!
Haa,haaa
Ina maana wewe ikiwa ni mara moja utakubali kukameruniwa??
 
Hiyo msg mi ningeiforward kwa Mukulu, ye si ndo anasemaga bila kuzurura huku akitembeza bakuli, ati twafaa. !

Hiyo imekuja kwa ajili yako na sio mtu mwingine.....ila ni vizuri akatumiwa mukulu hiyo kitu!
 
Back
Top Bottom