Utafanya Nini Mtalaka Wako Akifanya Hivi?

Daty

Senior Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
126
Reaction score
13
Hivi wapendwa utafanya maamuzi gani kila utapoingia kwenye mitandao ya kijamii unakuta mtalaka wako anakupiga mafumbo na kila anapokufata ili mrudiane humjibu chochote na anaanzisha marumbano ya makusudi baadae unayakuta kwenye mitandao kama mafumbo.
 
Hahahahah....majanga hayo,kwan tatizo la kuachana lilikuwa nn?
 
We nae ndo walewale sasa unatuambia sisi tufanyeje?Mungu amekupa akili ya kutatua matatizo ebo...loading error...
 
Hivi wapendwa utafanya maamuzi gani kila utapoingia kwenye mitandao ya kijamii unakuta mtalaka wako anakupiga mafumbo na kila anapokufata ili mrudiane humjibu chochote na anaanzisha marumbano ya makusudi baadae unayakuta kwenye mitandao kama mafumbo.
Nothing much can be done kwani yeye hafaidiki na chochote jst move one
 
Hivi wapendwa utafanya maamuzi gani kila utapoingia kwenye mitandao ya kijamii unakuta mtalaka wako anakupiga mafumbo na kila anapokufata ili mrudiane humjibu chochote na anaanzisha marumbano ya makusudi baadae unayakuta kwenye mitandao kama mafumbo.

Sindiyo maana Mungu-Muumba katuumba na ulimi...huwezi kunyamzisha mtu au kufunika midomo ya watu ...wamezaliwa huru !! Just if you can't beat them join them !! haya ni kawaida ya kibinaadamu, Bali ulimwengu utamfunza zaidi.! Mpendwa take it easy!
 
Unampuuza!

Back
Top Bottom